Search results

  1. chambi1509

    Wafanyakazi wa Sahara Media Group wagoma wakidai stahiki zao

    Media nyingi za bongo ni kajanja! Kuna nyingine hapo hapo Mwanza inaitwa lake FM (102.5) ni shida tupu! Watu wamejitolea mpka wamechoka! Anayelipwa ni program manager tu, the rest wanaambiwa wasubirie matangazo yakiwa mengi watafikiriwa! Ni zaidi ya miaka miwili! Na nyie wanahabari acheni...
  2. chambi1509

    Kitendo ambacho flyover ya Mfugale inatufanyia Mungu mwenyewe ndio anajua

    Kichwa cha Habari na maudhui yako tofauti, sijakuelewa mkuu
  3. chambi1509

    Kwa matatizo ya gari

    Hbr mkuu Styvo254 ? Gari yangu ni raum old model! Hivi punde imeanza shida zifuatazo! Mosi, ukiizima mpaka uje uibust kesho yake ! Nimebadilisha betri lakini tatizo bado lipo pale pale! Pili, imemaliza hydrolic, naomba ushauri nitumie hydrolic gani mkuu? Tatu, taa ya mafuta imezimika ghafla...
  4. chambi1509

    Ni miezi minne sasa tangu sindano yenye damu yenye maambukizi ya VVU inichome. ARV is not a picnic jamani

    Pole sana ndugu, Mimi mwenzako nilishawahi kumeza mwez mzima PEP, Mara baada ya Ku jigijigi na mwanamke mwathirika! Nilipata shida sana! Yote uliyoyaeleza ni kweli tena kweli tupu! Nilipata shida mwez mzima! So ukiona MTU anameza maisha yake yote, muonee huruma sana huyo MTU! Bahati nzur...
  5. chambi1509

    Nahitaji maelezo kuhusu gari aina ya starlet

    Mwenye starlet glanza natafuta kwa UDI na uvumba! Tuwasiliane plz
  6. chambi1509

    Kwa matatizo ya gari

    Mko salama wana JF? Natumai nyote hamjambo! Wanasema kuuliza sio ujinga, Styvo254 napenda kuuliza kitu kimoja chief! Kwenye automatic cars, kuna kitu kinaitwa OD (OVERDRIVING) hii OD inafaa kutumika wakati gani?, inafaida na hasara gani mkuu? Je , INA uwiano wowte na ulaji wa mafuta inapotumika...
  7. chambi1509

    Malipo ya kukodisha Trekta kwa heka yakoje?

    Nimelima kama wiki moj iliyopita kwa trekta 60k @ ekar
  8. chambi1509

    Malipo ya kukodisha Trekta kwa heka yakoje?

    Kwa Dodoma namaanisha Bahi ni 55k, 60k, na 70k
  9. chambi1509

    Acacia na ubadhilifu

    Acacia Mining – Fraud, Criminal Dealings & Deception in President Magufuli’s Face. Time for resignations at Acacia Mining & Barrick Gold An open and public letter to Barrick Gold Chairman, John L. Thornton Dear Mr Thornton We, the simple Tanzanian volunteers against corruption and fraud...
  10. chambi1509

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Nimeipenda hii
  11. chambi1509

    Kilimo cha Mpunga

    Hujambo mkuu, asante kwa kumjibu vyema! Kwa kuongezea tu super India, nganyaro, mbawa mbili, super Zambia ila kama ndio mkulima unaanza na huna uzoefu wa shamba nashauri MTU alime mbawa mbili! Haina usumbufu sana na inabumilia sana magonjwa
  12. chambi1509

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mkuu unafatilia sana movie za kikorea, basi kama kuna nyingine yenye mahadhi kama haya ya kijasusi jasusi usisite kunitag mkuu
  13. chambi1509

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Swadata, unakumbuka kwenye iris 2 Kim ki-Seon alimshambulia kwa risasi captain wake! Afu mwishowe wote wanakuja kuonekana ni dhaifu sana kwa wanawake, sio baksani, Ray, Kim ki-seon na Kim hyun jun wote walikuwa dhaifu sana! Ila Mr black mwenyewe ndio alikuwa ngangari!
  14. chambi1509

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Afu kama kuna aliwahi kuiangalia IRIS ONE NA TWO, kama sikuielewa vizur! Sehemu ya iris one sehem ya 20 inaonekana Kim yanjan anapigwa risasi wakati anaenda kumvisha Pete mchumba wake, lkn wakati huo bakisan akiwa amefungwa gerezeni Maswali yangu binafsi, je, Kim yanjan alikufa? Kim sohwa...
Back
Top Bottom