Search results

  1. T

    Simu inauzwa 160,000, Dar

    Tayari
  2. T

    Marekani kuondoa Raia wake Tanzania

    Serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania wametoa taarifa kwa Wananchi wa Marekani waishio Tanzania kuwa watatumiwa ndege ya kuwarusisha Makwao Tarehe 14 May. Watakao chagua kubaki watabaki Tanzania kwa muda usiojulikana
  3. T

    Zaidi ya bajeti ya Tanzania yapotea ndani ya dakika 5

    Mmiliki wa mtandao wa Kijamii, Facebook amepoteza zaidi ya Dollar Billion 15 ndani ya dakika 5, ambazo ni zaidi ya Bajeti ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2018/19 Amepoteza kutokana na kufanya vibaya kwa Facebook kwenye hesabu za robo iliyopita Mark Zuckerberg Lost $15.1 Billion in 5 Minutes...
  4. T

    Gina Haspel, Mwanamke wa Kwanza Kuongoza CIA

    Amefanya kazi CIA kwa miaka 33 Anajulikana kama mwanzilishi wa water boarding Maisha yake hayajulikani yaani ni classified Aliolewa na kuachika na Haspel aliyekuaa Mwanajeshi Hatumii mtandao wowote, Maisha yake hayajulikani maana yeye kama Deputy Director wa CIA anahusika na classified...
Back
Top Bottom