Search results

  1. King Sae

    Shukuru Kawambwa kwenye Kashfa ya Udalali wa Viwanja

    Bhangi mbaya sanaaa..
  2. King Sae

    Wafanyabiashara takribani 80% wana dini za kuzuga tu, wengi huenda kwa waganga kwa kuamini ndio sehemu sahihi kutatua matatizo

    Na 90% wasiowafanya biashara wanaamini wanaamini utajiri kweny biashara ni ushirikina...
  3. King Sae

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Mbingu hapapitiki labda kwa trekta.....barabara zimeharibika kabisa Pale Londo ndo hatari...
  4. King Sae

    Huu muonekano wa neno GOOGLE leo una maana gani?

    Inasema siku ya dunia leo.....naona mistari ya kontua
  5. King Sae

    Kuna wadada wana majaribu; Unapigaje simu ya biashara saa 7 usiku!

    Shetani anamilango mingi ila kupitia lango la mwanamke hajawahi kushindwa..
  6. King Sae

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Sema yule jamaa ni engineer njaa.....ila angekutana na chuma aliepinda....angeropoka tu "UNAJUA UNAZUNGUMZA NA ENGEENER SIO MWANASIASA"
  7. King Sae

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Kinachootesha mmea sku zote ni mvua...sio kelele za radi Sema makonda anamajibu yake mfukoni [much know]....kwhy ni ngumu sana kumuelewesha tena kwenye kundi la watu.
  8. King Sae

    Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

    Ila jamaa alivyorudi kutoka ng'ambo si akataka kukupeleka adi kwao....wewe ukasema bado unasoma
  9. King Sae

    Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

    bado upo dodoma.....
  10. King Sae

    Kiswahili fasaha kinatoweka

    Good morning=Morning Hello=Hey ....................................
  11. King Sae

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Mke katoa penzi ili watoto wasile nyasi...
  12. King Sae

    DOKEZO Amewasilisha Polisi malalamiko ya ndugu yake kuuawa lakini Askari wa Kituo cha Polisi Kibaha wanamzungusha tu

    Hao wapelelezi kwenye vituo vya polisi mi naonaga ni wamchongo tu.....si professional na hawapo kwa ajili ya kazi bali pesa mbele
  13. King Sae

    Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

    Sema kama una pesa,upo mwanza mkeo mpeleke dar akajiangalizie uko na kujifungulia uko... Wale ma gyn wakizielewa pisi huwa wanaziomba mzigo....na huwa hawakataliwi aiseee
  14. King Sae

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Af Afu wengi humu wale wa 2000 watoto wa masingle maza....sema ndo hvyo binadamu tumeumbwa kusahau
Back
Top Bottom