Search results

  1. A

    Ushauri: Nimezaa mtoto wa nje mmoja, napata wakati mgumu kuoa mwanamke mwingine atakayempenda mtoto wangu

    Kifupi na katoto kamoja nilikapata enzi za kujaribu jaribu, mamake yuko vizuri kiuchumi anaishi nae kwakuwa bado kadogo, ila kuna muda nitamchukua niishi nae Sasa imefika muda wa kuoa serious ila bado napata wakati mgumu nioe mwanamke wa aina gani atakayempenda mtoto wangu Kuna kipindi nawaza...
  2. A

    Ushauri kwa TAMISEMI juu ya mapungufu ya ajira za ualimu

    Mwaka jana kunataarifa zilisambaa kua kuna walimu wa kiswahili wamepangwa kufundisha MATHEMATICS,vivyo hivyo hata mwaka huu tumeona kunabaazi ya majina yamejiludia mala mbili kwa kupangwa masomo mawili tofauti na shule tofauti,japo kunawatu wanadai mikakati flani lakini ukiangalia kwa umakini...
  3. A

    Kwanini wasomi wa Tanzania ni ngumu kufanikiwa kibiashara?

    Ukichunguza kidogo utagundua kua biashara nyingi zinazofanikiwa ni za watu wakawaida kabisa ambao hata mambo ya biznes plan, demand and suply hawajui Ukitoa yale makabila ambayo asili zao ni kutafta hela(Dr. Mengi) yaani wasomi wengi wenye kuanzia degree+ hata maprofesa hata wakianzisha...
  4. A

    Ni swali/maswali gani unayoyachukia unapotongoza/tongozwa kwa mara ya kwanza

    Mwanamke ninaempenda hua ananikata stimu sana akiuliza hili swali "UNAKAZI GANI" Mi hua najibu ""NAUZA MAGAZETI KEKO" Kwenu wakuu Hua mnachukizwa na maswali gani na hua mnajibu nini Kalibuni
  5. A

    Hakuna maisha baada ya kifo(no life after death)

    Kama mimea,wanyama,wadudu hufa na kupotea hata sisi binadamu ni hivyo hivyo usiumize kichwa kuwaza maisha baada ya kifo,ukishakufa ndo umekufa hakuna cha peponi,wala motoni,wala kufufuka tena kama pombe kunywa ipasavyo,ukifa ndo nitoleee Kama ngono fanya upendavyo, ukifa ndo imetoka hakunamaisha...
Back
Top Bottom