Search results

  1. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Mkandara, Thanks kwa kuwa honest. Ukiwa na conclusion hiyo kwenye red, juu ya Nyerere, how can you even trust Nyerere as a person? au utendaji wake wa kazi ktk kipindi chote alichokuwa madarakani mpaka pale alipoacha.
  2. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Nguruv3, Nilikujibu kwenye hii post
  3. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Sipo ktk kucompare between countries. Nimetumia hiyo idea ya kuonyesha ni jinsi gani market economy inaweza kufanya hadi elimu ikawa very competitive. Also, huwezi kuidowngrade US education wakati kuna best leaders, businessman, wametoka ktk hiyo system ya education. Nimesema ktk USA kuna Ivy...
  4. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Here we go na Economic 101, Najua utawaingiza wote ambao unaona wana philosophy za government intervene. Akiwemo huyo John Keynes. Unajaribu kuleta ubishi wa kizamani. Baadaye utasema Karl Marx. Nimeshapita huko siku nyingi.
  5. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    USA kuna Public school, State school, Private school, na Ivy league school. System ya shule zao ambazo wengi watu kutoka nchi za nje wanatamani kuingia ni Ivy league. Unajua Marekani kuna level ya education ambayo ni tofauti kabisa na nchi zengine. Shule zao zina madaraja based na achievement...
  6. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Kuwa na market economy siyo lazima uwe na viwanda. Tungeanza kwa kuweka misingi kwa wananchi wenyewe kifikra, kielimu, nk. Hata kama Kenya kulikuwa na viwanda vingi- sisi tungekuwa na system nzuri ambayo indivudual wenyewe ndiyo wangekuwa na maamuzi yao wenyewe na siyo kupangiwa na Serikali...
  7. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Unashindwa kutofautisha oportunity tuliyokuwa nayo sisi TZ ni tofauti sana na Kenya ua Uganda. Like I said before, TZ ipo ktk nafasi nzuri kuliko hizo nchi. TZ tuna location nzuri kuliko Uganda. TZ tuna nafasi nzuri ya kufanya biashara kuliko Kenya. Kwa hiyo opportunity yetu ni kubwa sana...
  8. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Ndiyo maana Nyerere alichaguliwa ili awaongoze hao watu. Lakini alishindwa. Tatizo letu sisi WTZ ni kwamba hatuna viongozi wazuri wa kuongoza hao Watu. Kama Nyerere angekuwa kiongozi mzuri; basi angeongoza WTZ vizuri na tungekuwa mbali sana. Lakini Mzee Nyerere alishindwa. Matokeo yake, ule...
  9. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Chama, Umecdhanganya mambo mengi sana. Umeanza na USA ukaenda mpaka Afrika, baadaye ukaenda mpaka Europe. Anyway, issue ya market economy kuwa siyo perfect, hiyo kila mtu anajua. Lakini huwezi kuchukua protectionism zinazofanyika sasa hivi ktk kila nchi kublame market economy. Marekani ni nchi...
  10. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Vijiji vya Ujamaa na Ubabe wa Nyerere These and similar studies suggest that the failure of the Ujamaa scheme was predicated on a number of salient a priori and empirical factors. Three of these factors are pertinent to this discourse. First is the argument that the initiative to start Ujamaa...
  11. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Unajua vitu vinavyomilikiwa na Serikali vinakuwa vina mlolongo mrefu. Hata ktk nchi zilizoendelea. Hiyo ni moja ya sababu kubwa ya kushindwa kwa Ujamaa. Bureaucratic, inefficiency vyote vinaongezeka zaidi ktk Ujamaa.
  12. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Nyerere hakuwa ktk position ambayo China wapo leo. TZ haikuwa na uchumi mzuri wakati Nyerere anapewa hiyo deal ya IMF. China ya leo wana jeuri kwa sababu ya uchumi wao. TZ haikuwa na other option. Ndiyo maana Mzee Nyerere alikubali kushindwa- nampa credit ya kukubali matokeo. Akamwachia Mwinyi...
  13. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Mimi ninapoangalia kilimo naangalia kilimo cha Commercial Agriculture with advance technology. Tuna ardhi kubwa ambayo kama itainvestiwa kwa uangalifu especially na investor ambao watakuwa na genda za kumaximize profit na siyo kama vile subsistence agriculture ambapo wakulima wengi escpecially...
  14. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Nani anaejichanganya ni mimi au wewe (nyinyi). Nilijua focus ni TZ, sasa mbona unataka kwenda Kenya, Zimbabwe. Umechanganya mambo mengi sana. Anyway, naona unagree kwamba Kilimo kilishindwa kukamilisha agenda za Mzee Nyerere. Also, kuhusu kudevalue shillings, naona umechanganya mambo. Unasema...
  15. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Hiyo issue iliwahi kutokea wakati wa Nyerere kwa mujibu wa Mkandara. Ndiyo maana nimekuletea uone, ili uelewe vizuri.
  16. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Ukisikia watu wanasema West; basi ujue hizo ni power za West. Acha ubishi wa Simba na Yanga. Soma uzijue hizo nchi za West.
  17. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    MIT Prof. Noam Chomsky atakuambia "that is a terrible argument"
  18. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Usichanganye mambo Unashindwa kuelewa, labada hii article ya ina information sawasawa na vile alivyosema pro-Nyerere mwenzako Mkandara. Ndiyo maana nikamjibu hiyo issue ya price. By Fumbuka Ng'wanakilala DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's arabica coffee prices fell at last week's auction...
  19. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Hapo ndipo unashindwa kuelewa point kamili kabisa. Mteja anapotaka kununua bidhaa zako kwa bei rahisi zaidi ya vile ulivyotengenza; basi lazima ujue kuna tatizo ambalo wewe kama mzalishaji unalikosea. Na moja ya hilo la tatioz ni kutokuwa Efficiency. Ndiyo maana nikasema, kama tungekuwa na...
  20. M

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    Hilo ndiyo matatizo ya kusoma kwa kucopy. Hujui hata power za West ni kina nani. Watu wanapozungumzia West wanazungumzia power za West. Soma kwa manufaa yako ujue power za West ni kina nani.
Back
Top Bottom