Kiwanja kinauzwa mita za eneo 1378 (Low Density) kipo Tanga mjini Masiwani shamba karibu na nursery school ya kisasa. Kimepimwa na kina hati (Title) iliyolipiwa. Eneo lina huduma ya maji na umeme. bei TSh mil. 11.5. Hakuna dalali,
piga 0714113707
mkuu argument yako si mchezo!! Lakini wanafunzi wanachagua kiranja mkuu wao ambaye ndiye huwa mwenyekiti wa baraza la shule! Lakini binafsi napendelea spika asiwe mbunge tofauti na maoni ya Mhe. Ndugai. Nakumbuka Mzee Msekwa katika kipindi chake cha mwisho cha uspika hakuwa mbunge!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.