Search results

  1. jogoo wa maajabu

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    pamoja na hayo matokeo naona kabisa magufuri wamemwibia kura...samia na kikwete hawakustahili kupata hapa chembe
  2. jogoo wa maajabu

    Mwenezi Makonda vs Mwenezi Makala

    makonda anafaa kuwa rais Mungu amsaidie sana
  3. jogoo wa maajabu

    Mwanaume akijua hizi kazi kuoa ni tabu sana

    huo ujinga siwezi kufanya kaka hata siku moja ntamfulia wife akiwa anaumwa tu... Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  4. jogoo wa maajabu

    Short course gani ilibadili maisha yako?

    hii welding kwenye migodi utapga pesa
  5. jogoo wa maajabu

    Uhamiaji Arusha kuambiwa na Makonda watoe pasipoti kwa siku saba: Tuna tatizo la siasa nchi hii…

    makonda hana shida ila kuna watu wanakinyongo nae sana ingekuwa vzuri zaidi hata paspot zitolewe hata baada ya siku mbili mambo yaende chapu chapu ila kwa kufata utaratibu...mtoa maada kwani dar ndo nn hicho kitu inatakiwa kinamalizika mkoani
  6. jogoo wa maajabu

    Kwani Makonda? Makonda ni Makonda

    makonda angekuwa rais ingekuwa poa sana MUNGU amsaidie huyu jamaaa
  7. jogoo wa maajabu

    Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

    mtoa mada una wivu sana na unaroho mbaya sana huyu makonda kuna siku atakuwa mtu mkubwa sana hapa bongo na hutaamini
  8. jogoo wa maajabu

    EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta, Petroli na Dizeli bei yapanda kuanzia Aprili 3, 2024

    Mungu atupe kiongozi mzarendo huyu hatumtaki Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  9. jogoo wa maajabu

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    wanataka wote tumsujudie mudy hiyo haipo mbwa hao... mudy mwenyewe choko tu Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  10. jogoo wa maajabu

    Nikiona mtu mzima anaendesha boda naingiwa na hofu sana

    nakukumbuka nlshawahi kuwa mlinzi pale stendi ya magufuri mbezi kipindi inajengwa... sitosahau pesa ilikuwa inaisha kwenye chakula tu na hata haitoshi ktk mlo.. fight till the end brother..
  11. jogoo wa maajabu

    Mrejesho safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    huu ni uzi wang bora sana kwa mwaka huu 2024 Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  12. jogoo wa maajabu

    Pole Mstaafu Jakaya Kikwete

    kale kazee sijui katasemajee ama hata huyu alikuwa mbayaa
  13. jogoo wa maajabu

    Pole Mstaafu Jakaya Kikwete

    haamini macho yake mzee wa watu anajua yeye ndo kabaki na anayetazamwa na watu.... pesa ,vyeo na mali ni vitu vya kupita tu
  14. jogoo wa maajabu

    Nimelia sana nilipofika bwawa la Mwalimu Nyerere, kwaheri mgawo wa umeme

    wewe huwa unatumia nn kuwaza magufuri ndo kaanza kujenga sio mama Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  15. jogoo wa maajabu

    Mrejesho safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    poa poa Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom