Search results

  1. B

    Mizani ya Dukani inakaguliwa kwa kufungua Mizani yote?

    Nahitaji mzani wa kupima bidhaa za dukani nipo mlandizi
  2. B

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Chimbo la dawa muhimu za binadamu kwa kariakooo linapatikana wapi?
  3. B

    Zifahamu aina 9 za wateja ili ukuze biashara yako

    Ubarikiwe sana, umeelezea vizuri hizi aina za customers, mimi nandondokea hapo kwa mteja mtafiti. Lakini hizi aina nyingine naona zitanisaidia kwenye shughuli zangu za kila siku.
  4. B

    Kwa namna hii kuna haja ya kuwa na marafiki kweli?

    Mi mtu akisema nimkopeshe pesa, akitaja pesa ndefu mfano Kama 200,000. Kwanza namwambia sina pesa ila Kama ila nikiona shida yake IPO taiti Sana kiasi alichosema simpi chote namwambia mi niliyonayo labda 30k au 50k, nampatia Kwa kumkopesha ila sitamdai. Yeye akijisikia hailete asipoileta najua...
  5. B

    TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    Hii barabara ya chalinze- kibaha ni ndogo Ina magari mengi Sana yaani haimuhitaji dereva azembee hata kidogo ni juzi tu naenda mlandizi barabara ilikuwa Inaonekana nyeupe mbele lakini lilipotokea gari la mkuu wa mkoa likiovetake lorry hata hapajulikani. Nusura tuangukie korongoni. Tulibaki...
  6. B

    Jinsi ya Kutengeneza Connection za Kibiashara

    Simple and clear. Imeeleweka Cha muhimu tumeongeza maarifa tuchukue hatuna. Ahsante
  7. B

    TANESCO haitakiwi itetewe Wala kuhurumiwa, ijitetee na isimamiwe

    Kusema kweli Tanesco Wana dharau Sana Kwa wateja wao na majibu ya kebehi, utafikiri hio huduma hatulipiii. Mimi ninaeongea hii ni karibu mwezi mzima hatuna umeme, walisema transformer Lina tatizo wakaja wakalitoa, Sasa hivi ukifuatilia wanakwambia eti hawana gari la kubebea transformer...
  8. B

    Naomba ushauri wenu

    Wapi nkwenda au kaisho
  9. B

    Hongera Dkt. Charles Msonde, mbinu ulizotumia katika mitihani hii ya darasa la 7 ni zaidi ya TISS

    Ujue hii issue Kama upo nje ya mfumo unaichukulia kawaida Sana lakini ipo na ina exist. Shida kubwa ipo kuanzia viongozi wa ngazi za juu kutaka mikoa yao, wilaya zao, kuonekana zifanya vizuri zaidi kuliko nyingine. Hii hutokea kwa viongozi hao kuanza kuwapresurize walimu wakuu kuwa endapo...
  10. B

    Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Samahani, Faculty ya Financial in education inatolewa hapo?
  11. B

    Faida 7 zinazopatikana kwenye mbegu ya Parachichi

    Ahsante hata Mimi nilishasikia tetesi kuwa inatibu vidonda vya tumbo ila sikijua Ni vipimo gani vinatumika ili uweze kuitumia.
  12. B

    Sababu zinazofanya wanatajirisha wengine wao wanabakia masikini

    Kusema ukweli huwa Mara nyingi napenda kusoma Uzi zako na huwa zinanifunza Mambo mengi Sana, ambayo sidhani Kama unaweza kuyapata kiurahisi. Hasa Hasa kwa sisi ambayo Ni wavivu Sana wa kujitafutia maarifa mengi Sana. Sina cha kukulipa zaidi ya kukuombea kwa Mungu afya tele na mafanikio katika...
  13. B

    Baada ya kusota mtaani nataka kwenda VETA ni kozi ipi inalipa kwa sasa?

    Hii fani naipenda Sana Seema nimekosa muda na sehemu sahihi ya kufanyia mafunzi haya
  14. B

    Je, ni kweli watu weusi tuna akili ndogo?

    Kweli mazingira na mahitaji lakini hatuna vipaumbele Kila kinachokuja mbele yetu sisi tunatambaa nacho pasipo kujua faida na hasara za hicho kitu alicholetewa
  15. B

    Nimeahidiwa Q-Net kuwa bilionea baada ya miaka mitano

    Hio njia niliitumia kwa mtu aliyekuwa ananishawishi nikamueleza kwa Sasa Sina pesa ila Kama unayo naomba unilipie nikiipata nitakupatia. Alipunguza kasi ya kunitafuta mpaka Sasa anitafutagi kuniambia hayo Mambo.
  16. B

    Uchaguzi 2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Ahsante kwa fursa hii. Swali langu ni hili: Naomba uelezee namna utakavyoweza kuboresha mfumo wetu wa Elimu nchini ambapo kila mwanafunzi anapomaliza ngazi yeyote ya elimu, awe na uwezo na ujuzi wa kuweza kujitegemea. Kuliko mfumo wa Sasa unao malizia muda mwingi wa wanafunzi madarasani...
Back
Top Bottom