Search results

  1. Arista

    Bei ya jumla ya vitunguu Singida

    Habari ya asb samahani watz mlioko Singida nijuze bei ya jumla kwa kilo 100-120 VITUNGUU( gunia)
  2. Arista

    Forbes Yatoa orodha ya matajiri wapya Aliko Dangote na Mo Dewji miongoni mwa watu matajiri zaidi barani Afrika 2022

    Mbona kama nusu kwa nusu,alafu hacha udini Mungu mtoa riziki ni mmoja,pili wewe ukoje kimaisha ikiwa nawe no muislam na mwisho ukiomba orodha ya matajiri Duniani usipowaona utabadilisha dini yako au?[emoji38][emoji38][emoji38] Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  3. Arista

    Mzee Ali Hassan Mwinyi atunukiwa zawadi kwa kuutumikia Uislam

    Hayo ni maendeleo ya technolojia,enzi za nyerere sio za Mwinyi,za Mwinyi sio za Mkapa na za Mkapa sio za Kikwete vile vile za Kikwete sio za Magu na Samia.Maendeleo huyazuii.Nchi zinakua kama ilivyo mimea na wanadamu.Uenda we ni la saba mtoka huko pwani. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums...
  4. Arista

    Mzee Ali Hassan Mwinyi atunukiwa zawadi kwa kuutumikia Uislam

    Udini unakusumbua pole sana,unachowaza akilini mwako haitatokea kuwa na aina moja ya Imani humu Duniani. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  5. Arista

    Wakati Watanzania tukiendelea 'Kulewa' na Hotuba ya 'Kumkaanga' Ndugai, tujue Magufuli Umeme ni Tsh 27,000/ na Samia ni Tsh 320,000/

    Akili yangu ni timamu na ina hoja za msingi,siwazi 2025 nawaza mstakabali wa taifa na watu wake. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  6. Arista

    Wakati Watanzania tukiendelea 'Kulewa' na Hotuba ya 'Kumkaanga' Ndugai, tujue Magufuli Umeme ni Tsh 27,000/ na Samia ni Tsh 320,000/

    Tafuta CV yangu!! Huko kwenye vyama we ndo unakowaza,hatujengi hoja za kiitikadi uenda uliko ndo nilipo,huu mjadala ni huru kila mtu ana uhuru wa kuongea ,Nchi lazima iende haitabaki palepale tunachokataa ni kurudi tulikotoka. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  7. Arista

    Wakati Watanzania tukiendelea 'Kulewa' na Hotuba ya 'Kumkaanga' Ndugai, tujue Magufuli Umeme ni Tsh 27,000/ na Samia ni Tsh 320,000/

    Hao ni corrupt!! Hatujui haki zetu kila ukiomba huduma ya kumfungiwa maji au kuunganishiwa umeme unabembeleza,Aisee hii Nchi ni shida tupu. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  8. Arista

    Wakati Watanzania tukiendelea 'Kulewa' na Hotuba ya 'Kumkaanga' Ndugai, tujue Magufuli Umeme ni Tsh 27,000/ na Samia ni Tsh 320,000/

    Nyie ndo mnaturudisha nyuma na mawazo mgando mnabakia kufikiria kasema kasema, Biashara ambayo haina mshindani unakosaje faida? Kila siku unapandisha gharama ya kumfungia mtu umeme kwelii!! Tumia akili yako vzr kung'amua mambo usibaki kasema kasema! Sent from my TECNO B1g using JamiiForums...
  9. Arista

    Wakati Watanzania tukiendelea 'Kulewa' na Hotuba ya 'Kumkaanga' Ndugai, tujue Magufuli Umeme ni Tsh 27,000/ na Samia ni Tsh 320,000/

    We uelewi,mita na nguzo ni mali za tanesco anakuwekea anaanza kukukamua milele,wanashindwaje biashara hii,mi natakiwa nilipie gharama hiyo 27,000 kuunganishiwa umeme alafu nifanye wiring n.k,vilivyobaki ni jukumu la tanesco waniwekee umeme nianze kununua . Sent from my TECNO B1g using...
  10. Arista

    Wakati Watanzania tukiendelea 'Kulewa' na Hotuba ya 'Kumkaanga' Ndugai, tujue Magufuli Umeme ni Tsh 27,000/ na Samia ni Tsh 320,000/

    Hakuna aliye mkamilifu, mwendazake alikuwa anatimiza alichokiamini kuna tofauti kubwa sana na sasa, Viatu vyake itachua nusu karne tupate wa kuvivaa vikamtosha labda tumlete Pro Assad. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  11. Arista

    Wakati Watanzania tukiendelea 'Kulewa' na Hotuba ya 'Kumkaanga' Ndugai, tujue Magufuli Umeme ni Tsh 27,000/ na Samia ni Tsh 320,000/

    Hivi huwa najiuliza Shirika ambalo halina mshindani/ lime monopoly biashara ya umeme Nchi nzima linashindwaje kupata faida na kuwa na gharama kubwa kama hizo kumuwekea mtu umeme!!!,Aisee Nchi hii bado sana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  12. Arista

    Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

    Popote waweza kusali halimradi ni kanisa la kikristo maana kanisa bora ukisoma yakobo 2:29 utapata jibu na kanisa linaanzia rohoni mwako. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  13. Arista

    Vanilla ni fursa Njombe?

    Safi kabisa tuendelee kuelimisha!! Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  14. Arista

    Vanilla ni fursa Njombe?

    Jifunze utafiti, kilo moja ya vanilla mbichi huwezi uza kwa million moja kausha kilo 6-7 uuze kavu utapewa hiyo millioni,peleka Zanzibar au watafute Azam. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  15. Arista

    Vanilla ni fursa Njombe?

    Nyie wore ni Nonsense mnataka mafanikio ya haraka!! Unamkatisha mwenzako ,you have research no Right to speak,wanavyosema kilo moja ya Vanilla ni tsh 1m ni sahihi kagoogle soko la vanilla Duniani utapewa bei,na soko kuu la vanilla linakuwa Zanzibar kwa East Africa, taarifa sahihi ni kwamba kilo...
  16. Arista

    Hii Concessional Loan ya miaka 20 ya Rais Samia, mmh!

    Eti ni muda mrefu inakuumiza nini......[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2],bora umefafanua watu wajue Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  17. Arista

    Kinachomuuma Ndugai ni mama kukopa kwa uwazi

    Aliyeandika hii ana akili kabisaaaa,analeta sera za kukomoana sio kujenga mantiki,watu wanauliza tozo ilikuwa ya kujenga shule ,vituo vya Afya n.k mbona tunatumia hela ya mkopo wa COVID 19 ,tozo vp?[emoji38][emoji38] Ng'amua mambo hapo!!! Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
  18. Arista

    Waislamu wanatubeba sana!!

    Huyu ANAUMWA watu wana data za upande wa pili utakimbia ukiambiwa.Lakini kwa kuwa wewe ni mpuuzi na umefiliska kifikra kama wale wa mahakama ya kadhi na Sensa ya Mwaka 2012 kiwepo kifungu cha kuuliza dini ya Mtu.Uenda wewe ni maskini si wafikra tu bali hata kujikimu huwezi. Sent from my TECNO...
  19. Arista

    40 days 2022/2023 road trip adventure around Tanzania

    Idea nzuri,niorodheshe nipo Dar 0624011463 tunatakiwa tukutane by January kikao cha wadau wa kwanza kuratibu mkakati huu,hii wenzetu wanafanya sana, mfano wafanyabiashara+ wastaafu hapa ndo wanatakiwa , twaweza kutengeneza kitu hapa cha historia na kutoka na kitu.Nitakupa mbinu. Sent from my...
  20. Arista

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nataka wa kuniunga na wateja wa maharage meupe,njano,rozi koko nauza kwa kutoa mikoani na kuleta Dar,oda za shule za bweni pia mwenye kuhitaji na pia biashara ya dagaa wa kukaangwa ninao nafikia Sinza maeneo ya vatican simu yangu ni 0624 011463 Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom