Search results

  1. N

    Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

    Kabla ya kununua sound system yoyote kwanza unatakiwa kujua hitaji lako ni nini. Kwa mfano; hitaji lako ni mziki mkubwa( sauti kubwa),mziki mzuri,mziki mtupu,mziki + muvi nk. Kama hitaji lako ni mziki mzuri basi unatakiwa uangalie kitu kinachoitwa frequence range na frequence response ya spika...
  2. N

    Dawa ya kuzuia mbao za paa kubunguliwa

    Dawa ya mbao ni oil chafu kama wengine wakivyosema. Zile mbao ambazo unaona zina kama rangi ya kijani ile sio dawa. Zile zinawekwa rangi ya ukindu. Wafanyabiashara wengi hutumia mbinu hii ya kuloweka mbao kwenye rangi za ukindu ili wapate faida zaidi.
  3. N

    Je, wajua chromosome 23 kati ya 46 za Yesu zilipotoka?

    Ngamia anayezungumziwa sio mnyama. Ngamia inayozungumziwa ni kamba ambayo hutumiwa na meli kuweka nanga.
  4. N

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    They call it Nama Rupa. Tushavuka huko tangu zamani.
  5. N

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Stupid, ROHO is an old term for CONSCIOUSNESS.
  6. N

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Huyo unayemtaja naye hajui tu kama wewe, zipo 4 tu.Katika hizo 4 kila moja imegawanyika mara 4 tena na kufanya ziwe 16.
  7. N

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Kwani Gate na Elon ni scientists?
  8. N

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Mafanikio kamili ya mwanadamu huja ikiwa kuna uwiano sahii( balance)wa nguvu ya Roho, nafsi na mwili. Roho, nafsi na mwili ni vitu ambavyo vipo katika state/dimension ( hali) tatu tofauti. Kwa mwanadamu kazi kuu ya mwili ni kuchukua maelezo kutoka rohoni na kuyafanyia kazi na uchawi unaoungelea...
  9. N

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    There are 4 types of hallucinations, which pne are you talking about? Seems you know nothing about hallucination.
  10. N

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Well,hata ungesoma" states of matter " vizuri na kuielewa tayari ungejua uchawi upo na ungeweza kuuthibitisha.
  11. N

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Ni wapi sayansi imekataa juu ya uwepo wa uchawi, mapepo na majini? Kama hamjasoma sayansi ni vema mkae kimya. Maswala yote ya kiroho yana sayansi yake husika( occult science) na yanaweza kuwa proved scientifically. Hicho ambacho mnakiita sayansi ni mifupa tu ila nyama bado hamjafanikiwa...
  12. N

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Kama hayo yote unayoyasema ni Hallucination, je ni hallucination ya aina gani?
  13. N

    Encyclopedia of World Religions:(Great Faiths)Judaism, Christianity, Islam, Buddhism, Zen, Hinduism, Prehistoric & Primitive Religions

    Kwa majibu wa mafundisho ya kibuddha hakuna Mungu mmoja ila wapo wengi na hawaesabiki na katika hatua kumi ambazo viumbe wenye akili na hisia hupatikana Mungu yupo kwenye hatua ya sita. Mungu pia hufa na kuzaliwa.
  14. N

    Encyclopedia of World Religions:(Great Faiths)Judaism, Christianity, Islam, Buddhism, Zen, Hinduism, Prehistoric & Primitive Religions

    Neno Buddha maana yake ni kiumbe ambaye ameamka( amepata ufahamu kamili). Nisemapo kiumbe nakusidia kundi la viumbe wenye uwezo wa kufikiri na kuhisi. Hivyo Ubuddha ni asili yetu wala sio kitu ambacho kimeanzishwa na mtu japo kwa majibu ya historia ya hivi karibuni aliyokea mtu mmoja katika...
  15. N

    Encyclopedia of World Religions:(Great Faiths)Judaism, Christianity, Islam, Buddhism, Zen, Hinduism, Prehistoric & Primitive Religions

    Kama muumini wa dini ya UBUDHHA, nimeweka kambi hapa kujibu maswali yatakayolenga UBUDHHA. Naomba pia mwanzisha uzi aandike UBUDHHA badala ya UBUDHA.
Back
Top Bottom