Search results

  1. S

    Ewe mfugaji jipate mbegu za azola kwa bei ya shambani

    Uko mkoa gani mkuu !? Mzigo unakufikia chapu tu, elfu 10 tu, karibu
  2. S

    Ewe mfugaji jipate mbegu za azola kwa bei ya shambani

    Haiwezi kuoza mkuu, inavumilia sana, by the way naweza kuipaki kwenye ndoo ya lita kumi na kutia maji,
  3. S

    Ewe mfugaji jipate mbegu za azola kwa bei ya shambani

    Habari za leo wapendwa, baada ya kujuzwa faida ya mmea wa azola ulivyo na ufanisi na mkombozi kwa wafugaji, niliingia shambani kwa ajili ya kilimo na sasa mavuno yako tayari. Kwa yeyote anayehitaji mbeguza azola kuanzia kilo moja hadi gunia kadhaa nomba anitafute kwa simu Namba 0624924930.pia...
  4. S

    Msaada juu ya kozi ya Bachelor Degree in Education with Accounting and Business Studies

    Mkuu bado na hii kozi ni ya ualimu, isipokuwa yenyewe inahusu uchumi tu , ila bado ni degree ya elimu
  5. S

    Msaada juu ya kozi ya Bachelor Degree in Education with Accounting and Business Studies

    Mimi tayari ni mwalimu, nataka kwenda ku upgrade tu
  6. S

    Msaada juu ya kozi ya Bachelor Degree in Education with Accounting and Business Studies

    Wakuu kwema? Naomba mchango wenu juu ya kozi ya Bachelor Degree in Education with Accounting and Business Studiesambayo inatolewa na chuo cha Tanzania institute of accountancy. Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma, sasa mwaka huu napanga kwenda kujiendeleza kielimu, sasa kuna hii kozi je...
  7. S

    Mwanafunzi aliyekuwa anasoma EGM akapata EEF anaweza kusoma diploma?

    ushauri wa hovyo kabisa, yaani mtu ana form six aanze na certificate, au hata huelewi unashauri nini, EES maana yake anaweza soma diploma yoyote, kama ndivyo certificate ya nini?
  8. S

    Mwanafunzi aliyekuwa anasoma EGM akapata EEF anaweza kusoma diploma?

    Hapana, guide book ya TCU haisemi hivyo, ni CE, DD, kwako wewe nahiyo EES, nashauri urudie masomo mawili, kupata C ukiwa uraiani ni kazi sana mkuu
  9. S

    Mwanafunzi aliyekuwa anasoma EGM akapata EEF anaweza kusoma diploma?

    Eee somo moja tu, lengo lilikuwa nipate alama za kunipeleka university, mtihani wa kwanza nina DEE, nilirudia somo moja nikapata C, hivyo nina CE, na CD
  10. S

    Mwanafunzi aliyekuwa anasoma EGM akapata EEF anaweza kusoma diploma?

    Acha kujificha kwenye kivuli cha mwanafunzi, ni wewe mwenyewe pepa limekukamata, pole sana , bado unayo nafasi, ungali bado materials ziko kichwani mwako, jisajili ufanye upya mtihani, japo somo mbili ili uwe na uwezo wa kwenda chuo kikuu, mimi nimemaliza six mwaka 2005, nilipata DEE, enzi hizo...
  11. S

    Kwa anayetafuta binti wa kazi za steshenari, Mimi nipo tayari

    Kweli Mkuu, nasubiri wenye uhitaji
  12. S

    Kwa anayetafuta binti wa kazi za steshenari, Mimi nipo tayari

    Nikipata anayehitaji tutaelewana juu ya mshahara
Back
Top Bottom