Search results

  1. A

    Maonyesho ya Kijeshi siku za sherehe ni mambo yamepitwa na wakati na ni hatarishi

    Una mantiki sana kwa ujumla hizi sherehe zote ni matumizi mabaya ya rasilimali. Wangeyapotezea tuu ikawa tv zinaonesha historia watu wanapumzika nyumbani basi. Dunia iko kwenye AI na technological na bilogical weapons na sio kujazaia biceps kuvunja matofali. Hebu ingia you tube angalia best...
  2. A

    Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

    Kiongozi wao Habib bourgiba alichangia hili la kuwapa haki sawa wanawake ya kumiliki mali, Ndoa kwao zinavunjwa ikibidi wanandoa kuhitilafiana, Wako more liberal muslims zaidi ya Uturuki. Kuna wanawake wengi waliolewa halafu wakatibua ndoa ili kupata equal share of asset and property hii ni...
  3. A

    DOKEZO Chuo cha CBE Dar boresheni Mifumo ya Ada na Matokeo, inatupa usumbufu sana

    Safi kama wamerekebisha hatuwachukii bali tunatoa critique ili waboreshe zaidi maana ni chuo kilihitajika kiwe bora zaidi kwa masomo ya biashara.
  4. A

    DOKEZO Chuo cha CBE Dar boresheni Mifumo ya Ada na Matokeo, inatupa usumbufu sana

    Yale matatizo haswa ya uwekaji kwa wakati na usahihi wa matokeo ya wanafunzi bado ni changamoto sana kwa chuo hichi na kuna hawa wanaoitwa Head of dept wamekuwa ni kama wanajilazimisha kufanya kazi zao Very unproffessional kwa kweli kama una mtoto ni bora umpeleke IAA au IFm, au NIT vyuo...
  5. A

    Uteuzi wa Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)

    Hongera sana Prof Lwoga. Tafadhali shughulikia au fumua watu wanaoitwa HOD hawsaidii kabisa kutatua tatizo la matokeo ya watoto wanafunzi, wamegeuka miungu watu wanakosesha vijana kusoma vizuri. Hili swala la matokea hayajapanda kwenye system ya mtandao ya cosis, hawana emotional intelligence ya...
  6. A

    Rais Samia Wachukulie hatua wanajeshi wanaofanyafanya vurugu mitaani-Hii ni aibu isiyokubalika hata kidogo!

    Ifike wakati sasa serikali kuu ione umuhimu na hatua za mapema za kupanga mji wa kawe, huu mji wa kawe umekuwa shagalabagalah ingependeza barabara ingepanuliwa kwa kuvunja nyumba na maduka yote yaliyojenga ndani ya barabara, kupanua njia za mitaa. Sababu kubwa ya kilichotokea ni marehemu kanali...
  7. A

    Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

    Hizo lazi tayari zina watu sasa wewe kama mtu wa nje huna refa kupata au kuomba ni kupoteza muda
  8. A

    DOKEZO Chuo cha CBE Dar boresheni Mifumo ya Ada na Matokeo, inatupa usumbufu sana

    Nikiwa kama mzazi wa binti anayesoma chuo hicho kuna mapungufu nitayabainisha kwa nia ya kusaidia mkuu wa chuo na director of undergraduate studies wayachukue wayatatue 1. Kuna shida kubwa ya ratiba za vipindi yaani mtoto anaondoka asubuhi anarudi usiku na ukitazama hapo katikati kuna gap kubwa...
  9. A

    Misri ni jangwa 96% lakini Inaongoza Afrika kwa kuzalisha ngano, maembe, nyanya, machungwa, zabibu, viazi nk. Waafrika Tunajifunza nini?

    Egypt wana akili kubwa na wamepata civilization before christ 11 AD. Mambo ya management tuu akina Fredrick Taylor marekani karne ya 18 egypt tayari kuna management iliyojisimika miaka zaidi ya 8000 iliyopita. Halafu sio wavivu. Angalia education system yao, angalia road netowrks zao kuna...
  10. A

    Mtaalamu wa kuandika proposal report hasa za mambo ya entertainment business

    Anahitajika mtaalamu wa kuandika proposal kwenye entertainmnet business. Pm hapa tuanzie hapa platform kubwa hii Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
  11. A

    Kitabu cha kumsifu Hayati Magufuli cha Malawi kimeandikwa kwa mashinikizo ya Polepole, ndiyo maana akahamishiwa Cuba

    Sio kweli kama ilisikia raisi msomi wa malawi Lazarus Chakwera speech aliyoitoa wakati wa kumuaga JPM utaelewa elites and academicians wa malawi wana mtazamo gani juu ya hayati JPm Waafrika wengi na duniani walioenda JPm alivyokuwa anabana matumizi ya umma na kusimamia miradi, utumbuaji majipu...
  12. A

    Familia msitafute wa kumuangushia jumba bovu, Membe aliasisi kilichomgeuka mwenyewe!

    Kwa mujibu wa Ansbert Ngurumo daktari yule hajulikani na aliibuka msibani ni kama kuzima hisia na fikra za kujua marehemu amaepatwa na nini kufariki. Daktari yule ni mtu asiyejulikana au makirikiri na alikuja kuongea na media kuleta spining tuu. Kapewa siku 7 ajitokeze na aongee dhamira yake ni...
  13. A

    Kasekenya: Barabara Mianzini hadi Ngaramtoni Juu inafunguliwa upya kwani kuna maeneo ya km 8 hayakuwa na barabara kabisa

    Wahusika Tarura na Tanroads tunaomba ujenzi wa barabara uendane na quality msisimamie kwenye bei rahisi tuu. Kuna barabara inatoka Bunju mianzini kwenda Furaha hospital inajengwa chini ya kiwango. Mkandarasi akiulizwa na wananchi anasema hiyo inatokana na thamani ya hela aliyolipwa ile rami...
  14. A

    Tanzania, from an elephant to a bedbug!

    Umemaliza kwa kutupa jina kunguni au chawa. Sasa kunguni yeye hawezi kuwa na msimamo na kusimamia anachokiamini.
  15. A

    Tanzania tunaelekea wapi? Kama maji na umeme bado ni shida?

    Hii inaonesha tuna matatizo makubwa kwenye elimu yetu. Ambayo inatoa watu wasiofikiri kutatua changamoto bali wao wana majibu mepesi
  16. A

    Wazir Awesu: Wananchi wapewe bili halali za maji wakati huu!

    Hatimaye ametoka nje ya ofisi.
  17. A

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji na Mkurugenzi wa DAWASA

    Leo nimeulizia lori la.maji lita 3000 inafika shiingi za kitanzania laki moja na hamsini. Wanadaiaji wanachota Mbezimwisho ndio kuna afueni yanatoka. Wahusika hebu tokeni kwenye viyoyozi mje mseme maji yatapatikana lini
  18. A

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji na Mkurugenzi wa DAWASA

    Naunga mkono hoja ni aibu kwa miaka zaidi ya 60 bado kuwe na uncertain ya maji safi kwa wananchi haswa mji kama dsm. Waliopo dawasa viatu haviwatoshi wavivue. Angekuwepo JPM ungesikia mtu katumbuliwa ili kutuma meseji kwa mainjinia wa maji wanaosubiri posho na vikao ila hawabuni miradi endelevu...
Back
Top Bottom