Search results

  1. M

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Ila unatakiwa uwe na admission kwenye vyuo walivoingia navyo mkataba
  2. M

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    https://www.mpowerfinancing.com/?utm_campaign=elle-search-branded-explore-nonusca&utm_source=google&utm_medium=cpc&gad_source=1&gclid=CjwKCAjwxLKxBhA7EiwAXO0R0Cb2ZH4PkSyNLQtMdRngHd8ZNrdXIwqF3v65Cu6-nKYLcraZp84cHxoC-RsQAvD_BwE
  3. M

    Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

    Kama ni kurudi kijijini vijiji viko vingi sana Tanzania ukisogea vijiji vya mbalali kuanzia mwezi wa kwanza mpaka wa tatu hukosi laki tatu kwa mwezi na zaidi cha msingi usiwe mvivu.piga kazi huko mashambani watu wanaweka CPA zao mfukoni elimu kichwani
  4. M

    Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Jipe angalau miaka 10 ,usirukeruke kama kitenesi unajaribu aina nyingine ya biashara kila baada ya miaka 2 hapo sahau kutoboa.komaa na biashara moja tena sio 10 hiyo min jipe hata 20 yrs.
  5. M

    Kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, Canada na USA

    Namkumbuka mama mmoja alikua anaagiza Canada mizigo ila baadae akaacha akaw anachukua UK.Nitamtafuta nikimpata nitaleta mrejesho
  6. M

    Mshahara kiasi gani unatosha kwa baba wa familia ya watoto watatu?

    Mkuu unafanya nini!!!!! Mimi nina take home mara tatu ya kwako na kamwe siwezi lipa rent hiyo na nina watoto watatu pia.unahifadhi chochote kweli.wewe kwa mshahara huo rent haitakiwi kuzidi laki 2
  7. M

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Myahudi mimi hiyo nimeipata kwa miaka karibia 7 ya kufanya kazi
  8. M

    Ukisafiri ughaibuni ndio utajua kuwa nchi yako ina fursa sana

    Usinikumbushe machungu ndugu yangu hospitali inaendelea kwa sasa.😀sio mimi ni dogo
  9. M

    Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

    Na wanawake wanaoombwa hela msisite kujitokeza.Hii tabia ipo sana kwa vijana wa kiume chipukizi nao waelekezwe
  10. M

    Tulio hamia nyumba zikiwa hazijaisha tupeane uzoefu na changamoto

    Nilikua najenga ghorofa nimemaliza slab hela ikakata na kazi nikafukuzwa ikabidi nihamie hivo hivo. Changamoto mvua ilikua ikinyesha maji yanaingia ndani, mwezi wa sita mpaka wa nane nakoma kwa upepo na baridi kali.watoto mafua hayaishi mana linapenya hasa. Mungu si athumani nilikaa kwa jinsi...
  11. M

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Natamani huu uzi usiishe yaani diaspora endeleeni kutuelimisha
  12. M

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Habari wana jamvi huu uzi umenisaidia sana na kunipa hamasa ya kutafuta maisha nje ya nchi.Kiufupi nimeanza mchakato rasmi wa kwenda Canada Tutapeana mrejesho mambo yakienda sawa.Ee Mungu nisaidie
  13. M

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Ila mlininanga jamani mweee.Hakuna marefu yasiyo na ncha jaribu lilishaisha.
Back
Top Bottom