Search results

  1. lovenessy joshua

    Sindano ya uzazi wa mpango imeisha muda wake toka Novemba ila sijapata hedhi mpaka sasa

    Vipi sasa nitumie dawa gani ambayo itashusha izo hormone.
  2. lovenessy joshua

    Madokta naitaji majibu yenu sahihi

    Nilichoma sindano mwezi Wa 9 mwaka Jana ikatakiwa kuisha mwez wa11 katikati ya mwez uo nilitakiwa niingie period but mpaka mwaka huu January sijaona ata tone la damu.nilivoona ivo nikaend kwa dokta akaniambia kuna homoni zang ziko juu kwaio kuna dawa natakiwa nitumie nimejaribu vile vidonge va...
Back
Top Bottom