Search results

  1. SalahDaim

    Siamini tena wanawake wapole

    Nawe si ule mzigo uondoke? Uendelee nn wakati kakuambia usimfatilie?
  2. SalahDaim

    Ushauri: Nifanyeje nimpate huyu mdada?

    Tatizo hapa tunaish na watu wazima wenye familia zao, nikisema niforce itakuwa haina picha nzuri Na Kwa kuchati tuu dogo haelewi
  3. SalahDaim

    Ushauri: Nifanyeje nimpate huyu mdada?

    Nina malengo nae broo
  4. SalahDaim

    Ushauri: Nifanyeje nimpate huyu mdada?

    Nipe sasa mbinu nifanyaje
  5. SalahDaim

    Ushauri: Nifanyeje nimpate huyu mdada?

    Duuuuhhh Sasa broo kwahyo we hutaoa ? Na kama utaoa manaake utaoa ila usiyempenda?
  6. SalahDaim

    Ushauri: Nifanyeje nimpate huyu mdada?

    Habari za muda huu ndugu zangu wapendwa, Bila kupoteza wakati niende kwenye mada yangu kama inavyojieleza hapo juu. Nimepanga maeneo flani hapa Dar, miezi michache baada ya mimi kuhamia, alihamia mdada mmoja ambaye kwakweli amenivutia sana. Ni mzuri wa rangi yake na anaonekana ni mtu wa...
  7. SalahDaim

    Hivi kwanini upinzani wasiamue kwa pamoja kusinamia hili?

    Habari za muda huu ndugu wana JF, natumai mnaendelea vyema na siku kuu. Nije kwenye hoja hii yangu ya Leo Kwa hali ilivyo sasa inaonekana upinzani hawana hoja za msingi za kushindana na CCM. Mimi kwa maono yangu nilikua naona ni vyema wakaungana kwa pamoja kufufua suala la katiba mpya, jambo...
Back
Top Bottom