Search results

  1. P

    Nape: LIVE ON MLIMANI TV LEO TAREHE 13/10/11 SAA MBILI NA NUSU USIKU

    Sikia pumba za nape mlimani tv now!
  2. P

    Iwapo umemfumania mkeo au Mumeo!

    Itatokana na umemuua katika mazingira gani,endapo ulimuua on the spot baada tu ya kumfumania iyo mahakamani ita be considered kwamba ulikua na hasira so sio dhamira yako bali ni hali ya hasira,so unaweza kufikiriwa itatokana na kesi ipoje,but kama ulifanya kitendo hicho baada ya kufumania,basi...
  3. P

    Breaking news:prof maboko asalimu amri udsm.

    "Mpumbavu wewe we ulimaliza chuo gani cha kata ukashindwa kuandika iyo proposal,kama huna cha kuchangia you better mute"
  4. P

    Rais Jakaya Kikwete analipwa mshahara na posho kiasi gani? na analipa kodi kiasi gani?

    Hey! haya mambo kwe2 bongo si sawa na US ambako sheria zao kidogo zipo vizuri sana,but hapa kwetu sheria imespecify baadhi ya mapato ambayo hayakatwi kodi ikiwemo kipato cha raisi,ukiicheki sheria yetu...
  5. P

    Kutoka ITV: Mjadala kuhusu DOWANS; wachangiaji wataka maandamano nchi nzima

    Hey!JF members naomba yeyote alie na attachment ya kesi ya Dowans,naomba aiapload ili 2isome..............
  6. P

    Kutoka ITV: Mjadala kuhusu DOWANS; wachangiaji wataka maandamano nchi nzima

    Mcheki mkinga anavyoongea kwa hisia..................................
  7. P

    Oooh!! Sinta

    wivu tu................!
  8. P

    Kwa wale waliochaguliwa udsm bila mkopo, jaman j3 ndio hiyo, opening day

    Njoo hapa chuo upate "mordality" na usijali muda si mrefu mnapata mkopo wenu,maana hii nchi bila kushinikizwa hamna linalowezekana
  9. P

    Expiry date ya wanawake!!!

    Bishanga huelewi maana ya "choka mbaya" hujaelewa na maana ya "avarage",kuchoka haimaanishi umepitia mambo mengi kiasi kipi, kibongobongo most of girls katika miaka hiyo huwa ni choka mbaya,time hizo upande wa titiz tayari zishapigwa jeki sana n.k,utatetea sana hoja yako but ukweli ndo huo
  10. P

    Wa ukweli anapokutanishwa na kazi ya nje.......

    sema tu ukweli hayo yamekutokea wewe! usitufiche wala nini.................................!
  11. P

    UDSM UDSM UDSM wanataka nini UDSM

    Kama kawaida nimesikia wanaharakati wa UDSM wamesema mpaka tarehe 1/10/2011,endapo BOOM halitaingia basi pale chuoni patageuka LIBYA,kauli yao ni "Maboko jiandae tupo kwenye basi la kutoka TARIME ndo tunakuja ni trafki ametuchelewesha kidogo"
  12. P

    Elections 2010 Igunga: Mbunge kunywa sumu CCM ikishindwa

    mimi watu kama hawa huwa siwajadiri bila kujua level yao ya elimu,so mwanaJF yeyote alie na CV yake au anaejua level ya elimu yake basi anitumie kwenye email hii: paulchengula@gmail.com, coz unaweza ukamtoa kasoro kwa pumba zake kumbe unamuonea,ila nadhani atakua ni darasa la pili B,coz...
  13. P

    kumkonyeza mwanamke au kubaishia mwanamke ambae huna mahusiano nae ni kosa kisheria?

    Ni kosa,cheki SOSPA,but dada zetu kibongobongo hawajui hilo wala hawana tm ya kufuatilia,ila kuwa makini one day itakula kwako.......!!!!
Back
Top Bottom