Search results

  1. Zionist

    KKKT imakinike sana na serikali ya CCM ya sasa hivi

    Dahh, mpaka maskani za watu humu zinajulikana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my Infinix X6716B using JamiiForums mobile app
  2. Zionist

    Jamani, tuweni makini na wanaojiita manabii

    Wewe mtoa mada ni kabila gani, maana staili uliyoandikia ni ile hasa uitamkayo.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my Infinix X6716B using JamiiForums mobile app
  3. Zionist

    Kijue kisa cha mlevi aliyeiba ndege na kwenda kuipaki Baa

    Hiyo inaitwa " The power of kilaji "...
  4. Zionist

    Anayedaiwa kumwingizia Panga mkewe sehemu za siri akamatwa

    Kosa la mwanamke kamwambia mganga amchanjie limbwata la nyegere kwa hiyo apambane na hali yake
  5. Zionist

    Vifaa vya Tronic vinaharibika vyenyewe baada ya muda mfupi. Ni dhahiri baada ya kuaminiwa wameanza kuchakachua

    Mbona naona hiyo nembo imeandikwa " chigo" au ndio jina mbadala na tronic. Anyway mimi sio fundi umeme subiri waje watuelekeze Ndugu. Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
  6. Zionist

    Kelele za pikipiki mjini Shinyanga imekuwa kero

    Mara nyingi nikiamua kulala kwenye hotel nachagua nje ya mji, katikati ya mji kama una hasira ya karibu utakua una tukana usiku mzima kwa kukosa usingizi kunakotokana na back fire za exzost za hizo pikipiki Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
  7. Zionist

    Manyara: Watu wawili wauawa wakicheza na tembo

    Hata kama mimi ningekua hao tembo, ningefanya hivyo hivyo, najua sheria zinanikinga, kwa ujumla ni ujinga wao.... Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
  8. Zionist

    Nimepata hili jiwe wakati wanachimba kisima, je lina thamani yoyote?

    Pwani hakuna madini ardhini, hilo ni bonge la hirizi, uwe makini..[emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
  9. Zionist

    Paka wa baa; Kuna cha kujifunza hapa

    Nipo ijenga petro station hapa, ungekua karibu ungepata sato choma fasta.... Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
  10. Zionist

    Uko vipi na mama mkwe wako?

    Mleta mada huo ukaribu unao usema unapatikana huko, uwanja wa fisi, tandale kwa mwajuma ndala ndefu, na goba kwa Halima peku peku, na sehemu nyingi kama hizo Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
  11. Zionist

    Haji Manara ndiyo kaenda Marekani kwa mara ya kwanza nini?

    Piga picha popote, hata kwenye nyumba za nyasi, sisi wanyausi tupo kwa ajili ya kuperuzi na kudadisi.....[emoji41][emoji41][emoji41] Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
  12. Zionist

    Afisa wa benki ya NMB Arusha anaedaiwa kulawiti Yatima afikishwa mahakamani

    Inatia uchungu sana Akatendewe hivyo hivyo huko lupango Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
  13. Zionist

    Car4Sale Tunauza magari yaliyotumika kutoka Dubai kwa cash na Mkopo

    Kama unayo carina, iliyotulia hebu itupie hapa pamoja na bei
  14. Zionist

    Ukiwa tajiri hauitaji Chuo

    Ukiwa tajiri ukajamba kwenye kikao na watu wakajua ni wewe, watamsingizia kapuku aliyekaa pembeni
  15. Zionist

    UBORA wa matumizi ya king'amuzi cha DSTV vs Ving'amuzi vingine

    Tatizo DSTV wanarudia rudia sana movies, halafu za long time, unalipia 59 halafu unaangalia movies hizo hizo , unalipia mwezi unaofuata unakutana na zile zile. Yaani ni muda nimeweka DSTV movies mpaka leo wanazirudia. Kwa wapenzi wa action movies, tunaboreka kinoma
  16. Zionist

    Huyu kuku, namla peke yangu! Wageni sitaki!!

    Kwa mimi huyo wanitengee kwa ajili ya salamu tu, kujuliana hali, wa pili anaendelea kuiva jikoni kama huyo huyo. Ndio tujue kifuatacho ITV...[emoji41][emoji41][emoji41]
  17. Zionist

    Nataka kupokea pesa kutoka Ghana, nitumie njia gani rahisi kufanikisha

    Hapana, alisema kaachiwa urithi na baba ake, ambazo ni usd milioni kadhaa, kwamba Baba yake alikua na wadhifa mkubwa huko Rwanda. Kwa hiyo kachoka kuishi Ghana kwa bahati akapata e mail yangu kwa hiyo anaomba niwe muaminifu. Nifanye mpango wa kumuamishia Bongo ili niishi nae. Lakini nifuatilie...
Back
Top Bottom