Search results

  1. THE PERFECT

    CTV: Mdahalo wa wagombea Ubunge Igunga

    Vipi wamepeleka tena pingamizi? maana kila kukicha wanawaza kushinda kwa ma-pingamizi! CCM-B hawana lolote
  2. THE PERFECT

    Nape apata aibu Serengeti

    Jibu hoja Ulizomewa ama la! hoja siyo ulijaza watu compare to kamanda Mbowe! nyie zeni ni kusomba watu ama umesahau...?
  3. THE PERFECT

    Bastola ya Aden Rage na CCM

    Usiposhangaa ya CCM utayaona ya CUF.... wao watakuwa na SMG Teh teh magamba wameshikwa pabaya!
  4. THE PERFECT

    Huyu ni nani? Abdulhakim Mulla - katika biashara ya Usafirishaji wanyama...

    Mkuu, huyu jamaa ni rafiki wa karibu sana na RA pia nae ni mfadhili wa JK na CCM kwa ujumla jamaa wa madini wanamfahamu. Mulla ni mwezeshaji wa mipango yote ya kifisafi TZ na nchi za uarabuni... ok kwenye hili sakata atakuwa ndio kinara ofcourse wizara ya fedha, madini na utalii ndio wanamfahamu...
  5. THE PERFECT

    Membe: Gaddafi amefikia mwisho lakini hatuwatambui waasi!

    NATO, nchi za kiarabu na UN wanakubali only AU wanapinga wacha tuendelee kuona na kusikia hii move ya kina Membe
  6. THE PERFECT

    Maalim seif kuzindua kampeni za CUF igunga.

    Mbona afya yake inaonekana mgogoro kila siku! anyway nijuavyo atazidua ya CUF zen kesho ama jioni yake anaeda ya CCM maana wapo kwenye NDOA moja. al the best
  7. THE PERFECT

    Leopard Mahona - Mgombea wa CUF mwenye ushawishi atakayeibuka kidedea jimbo la Igunga

    kwenye Red PL hukusoma? primes zinatofautiana na conclusion pole sana jipange uje upya bila kutumia masaburi yako kuwaza na kuandika.. CCM-B a.k.a. magamba B hamna lolote.
  8. THE PERFECT

    Kijarida cha "Kumekucha" => Ya Libya na PPF

    nami nimeprint thank kamanda...
  9. THE PERFECT

    Kwa hili la TBA Mhe. Magufuli umekosea!

    unaweza kufupisha mkuu? all in all Magufuli ni mtu makini sana I dont think as you explained anyway wakuu watasema
  10. THE PERFECT

    Analysis: End of Gadaffi, Reasons for Fear Kikwete, Mugabe, Museveni...

    Natamani ifuatie TZ tumechoka na siasa uchwara! wanabiga mapesa kwa kibwagizwo cha aman na utulivu....
  11. THE PERFECT

    Godbless Lema - aliyekamatwa sio katibu wake ila katibu wake anaitwa Lucy Fransisco

    Serikalikari inataka Kuibaka demokrasia... . hizo ndio siasa za majitaka now days magamba na media zao wanatumia Masaburi type kuwaza sijui kama tutafiaka kwa vyovyote vile PM anahusika kutupeleka huko!
  12. THE PERFECT

    Lipumba afiwa na kaka yake

    Mnavompa POLE Prof. utazani ni Mwanajanvi atasoma. Poleni na Pole zake
  13. THE PERFECT

    Vijana wa Tanzania wanawaza Fiesta - Samwel Sitta

    wakuu! waziri wa A.Mashariki Mh. Samweli Six wakati wa kuhitimisha hoja yake bungeni jioni hii, amesema vijana wa kitanzania wanawaza FIESTA, hawafahamu computer.. pia ma secretary hawajui kutembea, pia mabinti wa tanzania ukimgusa tu anakuwa mkali wakati wa Kenya ni wachangamfu, wanaomba email...
  14. THE PERFECT

    Mmemchagua Kikwete kwa 60% Sasa Mnalalamika nini Umeme, Maji na Mafuta!!!. Wanafiki

    mkuu si wananchi ni TISS kamanda ndo walimpa hizo,l meant- usalama wa taifaa- raia tulipinga na tunapinga uchaguzi haukuwa wa haki na huru mkuu
  15. THE PERFECT

    Polisi traffic Tabora bado wanaomba rushwa

    Waache wale rushwa bana tz is free corruption zone hao kina chenge, rostam, lowasa, kalamagi, sitta, jk na mafisadi wote wanakula na kupiga michongo daily hakuna hatua sembuse trafic? Jairo pole mkuu nawewe utapata tu hata mh. Wenje anafahamu hivyo
  16. THE PERFECT

    Nani wa kuiunganisha CCM sasa?

    Mkuu mbona mambo kibao mpaka chadema tuseme ndio wao wafuate Mkuu bado hujatambua kama CCM inatekeleza ILABNI ya CDM ila kwa bahati mbaya hawawizi kuitekeleza wala achana na sera ya Elim -MZIKI wa katiba mpya? haikuwepo kwenye ilani yao. -mafisadi- wao wanawaita magamba - - -
  17. THE PERFECT

    James Mbatia na Siasa za maji-taka

    Mh. Moses Machali nae ni CHADEMA? huyo MBATIA ni mnafiki sana hana jipya MAJI TAKA YA YENYEWE
  18. THE PERFECT

    Chenge kujivua gamba leo?

    Lowassa nae vipi? Itakuwa poa kama atachia na jimbo
  19. THE PERFECT

    Meya manispaa ya Songea afariki dunia

    RIP Ok nimepata taarifa huyo meya Mh. Manya alishinda kwa kura moja zaidi ya mgombea wa chadema, kifupi hiyo kata ni ngome ya chadema hata mwaka jana uchaguzi mkuu Dr.slaa alihutubia na kuhitimishia kata hiyo kampeni zake na kisha kwenda mbeya kwa sugu. ofcourse Chadema watachukua kata hiyo no way
  20. THE PERFECT

    Haikuwa sahihi kwa Lissu na Ndugai kupambanishwa ktk mdahalo

    Job alivaa kiatu kisiwokuwa chake, anyway CCM mpaka sasa hawana mtu wa kumweka apambane na Tundu kwa huja yoyote ile. kama huyo simbachawene ndi kabisa, makinda mdio...., lukuvi ndio angejichanganya onyo ofcoz TUNDU kazeni buti hii ndio tanzania tunaoitaka
Back
Top Bottom