Maalim seif kuzindua kampeni za CUF igunga.

mzee wa mawe

Senior Member
Aug 2, 2011
151
15
katibu mkuu wa cuf na makamu wa kwanza wa Rais wa zanzibar ndie anayetarajiwa kufungua kampeni za chama hicho katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo mjini igunga. taarifa kwa wanajf.
 
katibu mkuu wa cuf na makamu wa kwanza wa Rais wa zanzibar ndie anayetarajiwa kufungua kampeni za chama hicho katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo mjini igunga. taarifa kwa wanajf.

Duh....sasa anakampenia chama kipi maana yeye ni makamu wa Rais....Rais ni CCM
 
Duh....sasa anakampenia chama kipi maana yeye ni makamu wa Rais....Rais ni CCM

Hapa ataeleza ilani mbili. Ya cuf na ya ccm. Atawaambia wananchi wachague kat ya cuf na ccm, ukichagua cuf ni sawa na umechagua CCM.
 
Mbona afya yake inaonekana mgogoro kila siku! anyway nijuavyo atazidua ya CUF zen kesho ama jioni yake anaeda ya CCM maana wapo kwenye NDOA moja.
al the best
 
sharif ni mwanasiasa pekee aliyebaki baada ya nyerere ana ni kisima cha busara na hekima na mwenye upeo mkubwa wa kuona mbali.
 
Kumbukeni Kauli mbiu za kila Chama. Naamini vitasimamia hizo kauli mbiu zao

OPERESHENI TETEA IGUNGA -CCM (Tunataka tena jamani hamuoni maendeleo tuliyoyaleta)
OPERATION CHUKUA IGUNGA-CDM (Tupeni nasi, tuwaletee maendeleo ya kweli)
OPERATION LOLOTE LIWALO IGUNGA-CUF (Hata tukikosa hakuna shaka, mladi tumeshiriki uchaguzi)
 
Cuf kwani bado wana matumaini huku bara?acha aende igunga kuitafuta aibu,maana mwaka jana profesa lipumba aliona alichokipata,pamoja nakuwa anatokea huko lakini alipata kula ndogo sana,sembuse maalimu seif.kwanza atumtambui huku bara.
 
sharif ni mwanasiasa pekee aliyebaki baada ya nyerere ana ni kisima cha busara na hekima na mwenye upeo mkubwa wa kuona mbali.

Maalim Seif busara kwake pekee ilikuwa ni kuukwaa uongozi wowote wa kitaifa na kesha upata sasa busara zake ziko wapi ? Na je ataingia na misafara kama ma CCM kwa pesa zetu ? Maana ni Makamu wa Rais wa Zanzibar na je bara ana title gani kwenye muungano ?Maana akiwa bara ni Katibu mkuu wa CUF sasa atatumia magari yetu na pesa zetu pale Igunga ?Hebu nipeni shule juu ya hili
 
Inashangaza sana Maalim Seif amabaye anahubiri kujitenga kwa Zanzibar leo anakuja bara kupiga kampeni za CUF.. wakati huyo huyo Seif kaingia muafaka na CCM bila kuwahusisha viongozi na wanachama wa CUF bara.. Hizi ni silaha kubwa za kumbomoa Seif Kisiasa kwa sababu ni mnafiki na hakuna sababu ya kkufunika kombe..
 
Igunga cdm lazma ishinde coz maendeleo yaliyopo hayalingani na miaka 50 uhuru cdd pekee ndiyo itakayo tupeleka kwenye bustan ya heli.
 
kumbe maalim seif tishio mbona wanaanza kulalamika ooh yeye si anataka kujitenga mara ooh atatumia magari gani, inashangaza kweli kwani hamjui kuwa ni makamu wa kwanza wa Rais, itifaki inazingatiwa.
 
Mbona afya yake inaonekana mgogoro kila siku! anyway nijuavyo atazidua ya CUF zen kesho ama jioni yake anaeda ya CCM maana wapo kwenye NDOA moja.
al the best

ndoa ya CCM+CHADEMA Arusha kwani vp?Mbona imekuwa ya kulazimishana hivi.Ka ndoa ya mkeka baada ya kufumaniana.
 
Igunga cdm lazma ishinde coz maendeleo yaliyopo hayalingani na miaka 50 uhuru cdd pekee ndiyo itakayo tupeleka kwenye bustan ya heli.
yaani peponi.

we unaishi kwa ndoto sana.Kwa fikra kama hizi bado tutasubiri sana kimaendeleo na hata tukihaidiwa mabomba ya maziwa tutaamini na kupiga kura.
 
Inashangaza sana Maalim Seif amabaye anahubiri kujitenga kwa Zanzibar leo anakuja bara kupiga kampeni za CUF.. wakati huyo huyo Seif kaingia muafaka na CCM bila kuwahusisha viongozi na wanachama wa CUF bara.. Hizi ni silaha kubwa za kumbomoa Seif Kisiasa kwa sababu ni mnafiki na hakuna sababu ya kkufunika kombe..

hoja za kipuuzi kabisa za mtu asiyeelewa siasa na siyefuatilia mambo.Wazanzibar(cuf and ccm)walipiga kura ya maoni na wakaamua wawe na muafaka wa serikali ya umoja ya kitaifa.CUF ndo inawanachama wengi zbar kama hawakutaka serikali ya umoja ingeshindwa kwenye kura ya maoni.actually wazaznzibar wanafurahia muafaka.
MAALIM Seif anaijua siasa na nwasihi wasiasa wanotaka kukomaa wakajifunze kutoka kwake.NAJUA ATAFUNIKA IGUNGA
 
Maalim Seif busara kwake pekee ilikuwa ni kuukwaa uongozi wowote wa kitaifa na kesha upata sasa busara zake ziko wapi ? Na je ataingia na misafara kama ma CCM kwa pesa zetu ? Maana ni Makamu wa Rais wa Zanzibar na je bara ana title gani kwenye muungano ?Maana akiwa bara ni Katibu mkuu wa CUF sasa atatumia magari yetu na pesa zetu pale Igunga ?Hebu nipeni shule juu ya hili

acha uvivu KASOME KATIBA.atagharamikiwa na Chama chake kasoro ulinzi kama jinsi dr.slaa alivyokuwa akipewa ulinzi na serikali hata akienda kwenye tawi la cdm alipokuwa mgombea urais(alikuwa akitumia kod za watz).Ni haki ya kila mtanzania.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom