Search results

  1. kalistus komba

    CCM nimewasoma vilivyo kuhusu nia yenu ya kupata wabunge wengi

    Yaani sijui wanataka wapeleke wapi Tanzania yetu
  2. kalistus komba

    CCM nimewasoma vilivyo kuhusu nia yenu ya kupata wabunge wengi

    Kumbe nia ya kutumia nguvu kubwa katika kuuwa upinzani ni ili wapate wabunge wengi bungeni na wapate nafasi ya kupata kula ya ushindi pale watakapopigia kumwongezea rais muda wa kukaa madarakani, sasa washindwe na walegee kabisa hawa sisi wananchi tumeshachoshwa......
  3. kalistus komba

    Kuwa upinzani sio 'endorsement' ya kuwa kipofu wa macho na fikra

    Hana akili na anakoenda siasa inataka kumshinda
  4. kalistus komba

    Kuwa upinzani sio 'endorsement' ya kuwa kipofu wa macho na fikra

    Unajua zitto zuberi ye anazani upinzani ni kupinga kila lifanywalo na uwongozi wa chama tawala,, kiukweli suara la msamaha ni busara na hekima sana ambayo hufundishwa na imani za dini zote,,,,, sasa zito anapinga mbusara ya mh magufuri kutoa msamaha kwa babu seya na mwanaye papikocha, hivi...
  5. kalistus komba

    No one is above of laws, kutoka kwa babu seya,

    Aaaaah aaaaah aaaaah,,,, hata vitabu vya shule vya kiswahili huwa vinakosea so isiwe kesi kiviileeee we toa yako tu
  6. kalistus komba

    No one is above of laws, kutoka kwa babu seya,

    Ok, kuandika kiingereza siyo shida na mimi nilijua kuwa mtaelewa tu,,, Ok, lakini jaji aliweza kusamehe katika vipengere vipi vya kisheria?
  7. kalistus komba

    Kutoka kwa babu seya na mwanaye

    Aaaaah, kwakeli mh lowasa ni hakuwa na dhamana ya nchi na ndomana aliahidi iwapo angepewa nguvu ya Dora nawewe usiwe kichwa maji
  8. kalistus komba

    Kutoka kwa babu seya na mwanaye

    Hakupewa nguvu ya Dora mdogo wangu
  9. kalistus komba

    No one is above of laws, kutoka kwa babu seya,

    Eet, inasemekana maamuzi ya rais kumtoa babu seya kavunja katiba ya nchi kwasababu babu seya alikuwa kasha thibitishwa na mahakama kama ni anaatia, so nini maoni yako??
  10. kalistus komba

    Kutoka kwa babu seya na mwanaye

    Mh magufuri anastahili hongera katika hilo lakini yote kwa yote, mh lowasa ndo kiini cha yote hayo kwasababu yeye ndo aliiweka hiyo kama irani ya compain hivyo bado kunaumuhimu wa uwopo wake na umuhimu wa kuendelea kuwepo kwa jina la lowasa. Mshangae yeyote ambaye anasema EET, kama magufuri...
  11. kalistus komba

    USHAURI: Msishiriki Uchaguzi mdogo ujao iwapo.....

    Kikubwa ni udicteta ndo tukitu tunaendeshwa nacho
Back
Top Bottom