pole kaka yangu. Huu ni wakati wa kurudi magotini na kumwangalia Mungu mana my bible says kila chozi litapimwa na pia Mungu asema atakuwa shahidi wa mke/mume wa ujana wako. Mshukuru Mungu kwa hayo yote na mwambie unataka mwenza mana mke mwema atoka kwake, usitumie akili wala nguvu zako mana yupo...
biblia inasema kila chozi litapimwa, hata chozi la mtoto huyu na wote wanaolia kuomba kwa ajili yake Mungu wetu ni mwaminifu na lililo kusudi lake ndilo litasimama.
ili mwenza wako aweze kuwa muwazi kwako lazima ukaribu wenu uwe wa namna nyingi awe pia rafiki yako wa karibu na muwe mnaweza kutaniana ama kuongea nast words bila kuoneana aibu ndipo anaweza kukuambia kila kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.