Search results

  1. Mabuzuki

    Mwigulu Nchemba ndani ya Emmanuel Tv kwa TB Joshua

    Namuona na tb joshua anawapiga viongozi wa Africa za macho especially Mwigulu kuhusu ushiriki wa viongozi kutengeneza crisis katika nchi zao kuwa 2015 watasababisha mtafaruku mkubea lkn hawata cross 2016. Anaomba watu waambiwe wa withdraw from evil. Watu kuchanganya siasa na dini, mungu...
  2. Mabuzuki

    Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Mh......! Maoni yangu ni kuwa maumivu yamehairishwa kwa muda tuu...
  3. Mabuzuki

    Akili Ndogo Kushindana na Akili Kubwa: Ona CV ya Mbunge Lema na CV ya Zitto!!

    Elimu ya darasani ingekuwa ndio mafanikio ya mtu au nchi basi tungekuwa mbali sana..... elimu kubwa kuliko na effective ni ya mitaani.... mengine mbwembwe tu!
  4. Mabuzuki

    VERY SERIOUS ISSUE!!! Its Raining Husbands on Me and Yet I cant Pick 1. (Sio kulogwa huku jamani)

    Mh hii kubwa kuliko.... lakini ni muhimu sana ww mwenyewe kwenye vigezo vyako uvipe marks na kile chenye nyingi ndio kiwe muongozo wa uchaguzi wako. Mm kuna rafiki yangu yeye anapenda sana love making kwahiyo alipotaste kwa ambaye sasa ni mume wake akaona iko mwake , they got married 3years now...
  5. Mabuzuki

    TAARIFA:Uchaguzi wa Arusha huenda ukavurugwa tena kwa makusudi

    ubishi katika kukabidhi madaraka kwa mpinzani wako kwa amani ndio mwanzo wa vita na uasi...... time will tell.
  6. Mabuzuki

    Wanaume kulala baada ya tendo, Wanasayansi wagundua sio hiyari yao...

    Hii topic ni ya kweli lkn akili mkichwa kwa wanaume Kujua jinsi ya kufika kileleni na mpenzio. Sio wewe kumaliza mwenzio ukamwacha njiani, haifai. Gonga kwa step mnamaliza pamoja na wote mnapata muda wa kupumzika in preparation for the next round.
  7. Mabuzuki

    Mbowe: Mabomu yamerushwa na Polisi kwa maagizo ya Serikali

    SEREKALI haipo tayari kukabidhi madaraka kwa amani. Hili ni tatizo la msingi. Kibaya sana waliokabidhiwa hili jukumu la kulazimisha kubakia madarakani, akili zao ndogo na kubwa zaidi wanao onewa MUNGU yuko upande wao. Hakuna watakacho panga na kufanya kisijulikane. MWISHO NI AIBU KUBWA. TUSUBIRI.
  8. Mabuzuki

    Tukio la Bomu Arusha: The game was planned - kauli ya baadhi ya polisi

    Niliposikia taarifa za bomu hili lilipita kichwani kwangu kuwa uchaguzi baasi. Naona ndio malengo. Tusubiri.
  9. Mabuzuki

    Kuna kosa lolote kama naamua kufanya mapenzi katika gari yangu

    Taste and flavour inaendana na mabadiliko ya mazingira pia hata mengine yakiwa hatarishi, its part and parcel ya kuburudika na kuhuisha (ku-renew) mahusiano. Unayefikiri palipo sawa ni kitandani tuu kuwa ukayaone!
  10. Mabuzuki

    Ccm watengeneza shahada feki za kupigia kura arusha ktk uchaguzi wa kesho wa madiwani

    Jamaa yangu haya maelezo yako sio ya mtu anayeishi tanzania ya leo, au kuwa more specific wapeleke Polisi ya Interpol au hii hii ya kubadilisha cocaine kuwa chaguo la mama.....?????
  11. Mabuzuki

    Jide kafunika mbaya ukumbi ulikuwa mdogo

    Fantastic and very interesting news for the week end.
  12. Mabuzuki

    Coordinator wa SCOAN Tanzania

    Kuna watu hayajawakuta ndio maana povu jingi. Siku ukifikwa na uhitaji ndio utatia akili na kuona tofauti ya hao watumishi. Kila mmoja ana nguvu yake. Kwasasa kuweka kijumla jumla kuwa popote MUNGU yupo na anafanya kazi ile ile ni uongo. Upako na usafi wa kila mtumishi/padre..... matters a lot...
  13. Mabuzuki

    President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

    Ivi si ni huyuhuyu Kagame akiyesema apewe bandari ya Daresalamu pekee atailisha na kuitegemeza Rwanda na Tz........???!!!! Tukiwa tunaendelea kuchangia embu tutafakari na hili pia....
  14. Mabuzuki

    Coordinator wa SCOAN Tanzania

    Mnapotosha maana. Tb Joshua angekuwa hata Namanyere watu wangemfuata, hapa swala sio mtu au mahali bali upako alionao mtu. Hata mimi nilikuwa kinyume nae sana lakini baada ya kufuatilia, namkubali. Mfuatilie na pia kaa na mtu aliyeawahi kwenda mbadilishane mawazo kabla ya vijembe.
  15. Mabuzuki

    CCM na ngoma za mashetani

    Hapa jamaa walikuwa wanafurahia nini? Cheki mama aliyekaa chini anavyosubiria kwa kicheko...... but their dayz are numbered, namba ya Wadanganyika inapungua kwa kasi ya kimondo
  16. Mabuzuki

    Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare apata dhamana...

    Mwisho wa ubaya ni AIBU mbayaaaaaaaaaaaaa atoke hayo maeneo wasije piga u-turn wakamrusha nyavu
  17. Mabuzuki

    Coordinator wa SCOAN Tanzania

    Haujafa, haujaumbika! wewe unaye sema vibaya kuhusu watu kutafuta huduma ya uponyaji, haujafikwa na jambo. Wako watu wamezunguka sana bila mafanikio au wanapata mafanikio ya muda mfupi na mambo yanarudi kuwa mabaya zaidi. Kwa mtu wa Imani, sikulazimishi, ila chukua hili leo litakusaidia...
  18. Mabuzuki

    Lema awashauri wakristo wa Kaloleni kutokwenda kanisani tarehe 16 Juni ili washiriki uchaguzi

    Mleta mada ana kichefuchefu....... unatakiwa uchukulie vitu kwa upana wake. Mh Lema alikuwa anaonesha umuhimu wa watu kwenda kupiga kura na sio zaidi.
  19. Mabuzuki

    Sitta amwandama Slaa kwa wasomi wa Chuo Kikuu cha SAUT

    Huyu mzee mshauri wake anampotosha sana. Katika mambo ambayo hakutakiwa kuyafanya kabisa ni ya kunyoosheana vidole. Nafikiri watu wengi bado wanakumbuka issue ya RICHMOND alivyoimaliza kimbulula kwa uoga wa kutupwa nje kwenye uchaguzi wa 2010. Hekima ingekuwa kujijenga bila kuwashutumu wengine...
Back
Top Bottom