Ccm watengeneza shahada feki za kupigia kura arusha ktk uchaguzi wa kesho wa madiwani

nassiry

Senior Member
May 7, 2013
182
36
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka kwa wasamaria wema ambao wamepewa kadi feki pamoja na elfu thelathini kila mmoja hili wakampigie kura mgombea udiwani wa ccm bw emmanuel laizer na kadi hizo ninazo na sasa ndo tumeita waandishi wa habari hili tufanye press,sikiliza sun rise radio na radio five muda si mrefu.mchezo mchafu wa nchemba
 
Hizi taharifa ni za kweli kabisa na mpaka sasa tumepata kadi kumi na saba feki kutoka kata ya elerai,tumejipanga vizuri na tuna madafutari ya wapiga kura kila wakala wa chadema hatakua nalo kwaajili ya kuhakiki,kwahiyo ila za mwigulu hazitafanikiwa.
 
Msisahau kuwapiga picha hao majambaz wote wa demokrasia .... Mungu awaongoze mutuwakilishe vema!
 
Daaah kumbe ndio maana Shonza ameibuka asubuhi asubuhi kutangaza ushindi wa bandia akifikiri R-Chuga ni sawa na Iramba. Kama mwizi meeen, huu ukoo wa panya (CCM) utaleta machafuko kwa ubakaji wao wa demokrasia...

Mi nilijua uwepo wa Mwigulu Arusha lazima uendane either na wizi wa kura au mauaji. Huyu jamaa Mwigulu Nchemba anastahili kupelekwa The Hague maana ndio chanzo cha uovu wote dhidi ya demokrasia.

Makamanda hakikisheni kuwa Daftari la wapiga kura lipo na uhakiki wa kutosha na pia kama kuna kumbukumbu hapo za uchaguzi uliopita inabidi kulinganisha daftari tuwakamate hawa majizi wakichomekea majina.
 
Kama vip, wamtaje aliyewapa hizo kadi na kwa tennolojia ya sasa obvious unawezi kosa mwenye hata sauti au aliyefanikiwa kupiga picha ya haao wadharimu!
 
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka kwa wasamaria wema ambao wamepewa kadi feki pamoja na elfu thelathini kila mmoja hili wakampigie kura mgombea udiwani wa ccm bw emmanuel laizer na kadi hizo ninazo na sasa ndo tumeita waandishi wa habari hili tufanye press,sikiliza sun rise radio na radio five muda si mrefu.mchezo mchafu wa nchemba

Ndio maana shosti Juliana alikuja na thread ya ushindi asubuhi. Kweli ana kichaa. Ar ni noumaaaaaaa.
 
Mnahimiza utawala wa sheria. Bahati mbaya ninyi wenyewe hamtaki kufuata utawala wa sheria. Kughushi kadi ni kosa kisheria ila inashangaza badala ya kwenda polisi kuripoti hilo tukio ili wahusika wachukuliwe hatua nyie mnakwenda kuita waandishi wa habari eti kufanya press ili kiwe nini. Mkiambiwa hizo kadi mmetengeneza wenyewe ili kuwachafua hao mnaowatuhumu mtakataa? Kama mna ushahidi uliokamilika kwa nini msipeleke kwenye vyombo vya dola? Press press itasaidia nini kama ninyi wenyewe mnawalea wanaovunja sheria?
 
Maboso Wewe unaonekana kichwani ni mweupe
Sana au ni mmoja wa watengenezaji wa
Mpango huo police wepi unaowasemea
Makongoro mahanga alikamatwa na mabox ya
Kura zikapelekwa police hao police
Kitengo cha magamba Si ndio waliomsaidia
Kuyavusha na kuyafikisha kwenye mahali
Pa kujumlishia matokeo
Hatua ya kuita press ni ya kuweka mambo wazi
Alafu ndio hatua police zifuate gamba Wewe
 
Jamaa yangu haya maelezo yako sio ya mtu anayeishi tanzania ya leo, au kuwa more specific wapeleke Polisi ya Interpol au hii hii ya kubadilisha cocaine kuwa chaguo la mama.....?????
 
mmh kweli chaguzi za siku hizi sio kwa maslahi ya wananchi bali wenye matumbo makubwa! kuna ndugu alitoa uzi humu JF akasema magamba wanafanya kila njia ili washinde viti vya udiwani Arusha ili kuhalalisha umeya wa meya wa jiji la Arusha maana jijini Arusha ma-ccm wenye matumbo makubwa wameweka vitega uchumi vyao vinavyotokana na 10% za kufisidi raslimali zetu!
phtuu...natema mate chini! Mungu atawalaani matumbo yatapasuka hayo!
 
Mapolisiccm kuanzia lini wakaitendea haki chadema na huu ni mpango wa mkuu wa mkoa arusha na yeye ni kada wa ccm,na ndiyo mwenyekiti wa ulinzi na usalama mkoa wa arusha sasa hataacha kufanya kazi ya mume wake kikwete.
 
Weka mambo wazi ndugu, Hao wanaotaka yafikishwe Police yatafika lakini wananchi wakiwa wanajua nini kinaendelea. We si uliona ile ya Police wa siku hizi ya Cocaine zinageuka kuwa chumvi na sukari, Halafu gari ya Kamanda wa mkoa ndio linasafirisha bangi. Chezea chichiem weye.
 
Mnahimiza utawala wa sheria. Bahati mbaya ninyi wenyewe hamtaki kufuata utawala wa sheria. Kughushi kadi ni kosa kisheria ila inashangaza badala ya kwenda polisi kuripoti hilo tukio ili wahusika wachukuliwe hatua nyie mnakwenda kuita waandishi wa habari eti kufanya press ili kiwe nini. Mkiambiwa hizo kadi mmetengeneza wenyewe ili kuwachafua hao mnaowatuhumu mtakataa? Kama mna ushahidi uliokamilika kwa nini msipeleke kwenye vyombo vya dola? Press press itasaidia nini kama ninyi wenyewe mnawalea wanaovunja sheria?
jinga wewe polisi gani wa kupelekewa hawahawa mapoliccm au wapi hao
 
Back
Top Bottom