Search results

  1. LIMBOMAMBOMA

    Nimejikuta nimemtumia nauli tu, aje atulizwe

    Haahaa, uwe makini mjomba huenda Ni mtego pia, mapenzi upofu..
  2. LIMBOMAMBOMA

    Bodi ya Mikopo (HESLB), mfumo unasumbua kujaza fomu online

    Shida zipo Mkuu, Nina changamoto, picha ya mdhamini iliyopo Ni ya mwanamke na mdhamini Ni mwanaume, mbaya zaidi nishaprint form, nafanyaje ili kubadilisha picha?
  3. LIMBOMAMBOMA

    Kenya 2022 Bi. Martha Karua na siri ya Ushindi wa Urais wa Mzee Raila (Baba)

    Kwa Kenya ngoma bado. Nzito, lolote laweza tokea...
  4. LIMBOMAMBOMA

    Mahakama Kuu imewaruhusu Halima Mdee na wenzake 18 kufungua kesi ya kupinga CHADEMA kuwavua uanachama

    Hawa watakuwa wabunge mpaka 2025, tutake tusitake, hii ndo bongo..
  5. LIMBOMAMBOMA

    CHADEMA wachemka tena, wapeleka barua ya hukumu kusiko

    Kwa Afrika kulinda katiba bado Sana..
  6. LIMBOMAMBOMA

    Bernard Membe atangulia kumuunga mkono Samia 2025

    Ukilinganisha aliyepita na huyu mama, mama Hana shida kabisa, mungu ampe nguvu zaidi
  7. LIMBOMAMBOMA

    Dkt. Tulia: Kama wasingeenda Mahakamani ningetangaza nafasi kuwa wazi

    Nchi hii umma usipotoka usingizini tutaendelea kuibiwa mpaka Basi, mahakama na bunge vinatumika kusafisha ufisadi wa kulipa watu wasio na vyama bungeni.Dhambi hii itaendelea kuumiza taifa letu daima
  8. LIMBOMAMBOMA

    Maamuzi ya Spika, muovu hawezi kuwa na ujasiri wa kumwadhibu muovu mwingine

    Haahaa Sheria ipi mkuu? Ni maigizo tupu
  9. LIMBOMAMBOMA

    Maamuzi ya Spika, muovu hawezi kuwa na ujasiri wa kumwadhibu muovu mwingine

    Mpaka Sasa kinachoendelea Ni uvunjaji wa katiba na Sheria, tangu lini ukihukumiwa kwenda jela, ukakata rufaa unatolewa bila hukumu kusikilizwa? Hili bunge limepoteza dira Bora livunjwe tu
  10. LIMBOMAMBOMA

    Sakata la Halima Mdee na Wenzake ni fundisho tosha kwa ambao hawana uchungu na taifa lao. Ikipendeza wapiga kazi mpaka 2025

    Kuwalipa kina Mdee Ni kuhalalisha matumizi mabaya ya pesa za umma. Ule Ni zaidi ya ufisadi.Mahakama inapotumika kulinda wizi na uvunjaji wa taratibu inaumiza sana
  11. LIMBOMAMBOMA

    Dkt. Tulia: Kama wasingeenda Mahakamani ningetangaza nafasi kuwa wazi

    Kwani wasipokuwepo bungeni kesi yao ya kupinga kuvuliwa uwanachama haitakuwa na nguvu?
  12. LIMBOMAMBOMA

    Dkt. Tulia: Kama wasingeenda Mahakamani ningetangaza nafasi kuwa wazi

    Nchi hii bado tuna Safari ndeefu...kuheshimu taasisi na Sheria zetu
  13. LIMBOMAMBOMA

    Mahakama kuzuia kuvuliwa Ubunge ni kuingilia maamuzi ya Spika na ni kinyume na Sheria. Ingedili na uanachama wao tu

    Nchi hii uzalendo bado Sana, kuvunja katiba ya nchi Ni kosa kubwa Sana, nchi zingine kesho asubuhi bunge lingeshazungukwa na umma kuzuia wabunge feki kuzama mjengoni
  14. LIMBOMAMBOMA

    Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

    Kushangilia kuingiza bungeni watu wasio na vyama Sio uzalendo
  15. LIMBOMAMBOMA

    Ntashindwa kulipata dole gumba la mdhamini huyu,nawezaje kumuondoa na fomu nimepakua?

    Hii kazi imewekwa kwa ajili ya wachache, vigezo viingi visivyo na tija.Kwenye kuchagua mikoa Ni shida
  16. LIMBOMAMBOMA

    Afisa elimu sekondari Songwe huko kwenye semina ya sensa zingatia yafuatayo

    Naona tu maelezo ya kulalamika, sensa imeanza au..
Back
Top Bottom