Search results

  1. LEMBIJA

    Tupeane mbinu mbalimbali za kuwadhibiti nyoka wanaoingia majumbani mwetu

    Sipendi kweli kuona mtu anaua nyoka ama mnyama yoyote niseme ukweli,ila pia silaumu mana ni sehu moja wapo ya kujiahami na hatuna utamaduni wa kuwa na taasisi za haraka za kukamata viumbe hawa pale wabainikapo wapo katika makazi ya watu. Hakuna njia rahis ya kukinga nyumba yako mbali na...
  2. LEMBIJA

    Tatizo hili sasa limeanza kuota mizizi, sijui nani aliyetuloga

    Ili upate nyadhfa,BASI FATA AKILI NA KANUNI ZA BWANA MKUBWA JIWE. Chap na haraka familia yako itafurahia kazi yako
  3. LEMBIJA

    Kwanini Dkt. Kalemani hakamatwi na Polisi kuhusiana na kushambuliwa kwa risasi kwa Tundu Lissu?

    Asee mzee,mungu halipi kisasi. Inatakiwa walipwe na sisi binadamu.
  4. LEMBIJA

    Ama kweli usimdharau usiyemjua

    Mzee bundle limekupa alarm nn??
  5. LEMBIJA

    Ongezeko la vijana wenye vipara nchini, nini chanzo?

    Mkuu kweli hili tatizo lipo kwa wingi sana kipindi hiki. Moja ya mambo yasababishayo ni kama yafuatayo; 1/kurithi 2/upungufu wa homoni inayohusika na ukuaji wa nywele 3/stress 4/upungufu wa madini chuma mwilini 5/matatizo kwenye tezi ya thyroids 6/upungufu wa protein na hamirojo...
  6. LEMBIJA

    Déjà Vu inathibitisha binadamu tulishawahi kuishi maisha tunayoishi leo tangia kale

    Ilishawah nitokea hiyo hali mo thn 4 ama 5 times. Niliishuhudia tu mwenyew kila kikitokea nakumbuka hili lishawah kutokea. Ila moja ilikuwa kubwa kuliko nhadi ikapelekea nipate mfedheheko na kujiona labda nina tatizo la kichwa.. Nina rafiki mmoja tu nnae mwamini na kushauriana nae kwenye mambo...
  7. LEMBIJA

    HOja mchanganyiko:Jay z,Rick Ross na John Legend walikuwa na maana gani hapa?

    Wote wamekubali mheahimiwa. Kataa kwa vigezo. Hii in moja kati ya my favourite so lazma niijue kiundani bhana
  8. LEMBIJA

    HOja mchanganyiko:Jay z,Rick Ross na John Legend walikuwa na maana gani hapa?

    Hyo nyimbo inaitwa FREEMASON/WAJENZI HURU. One of my favourite song of AT. Kikubwa kilicho wakutanisha hawa RAIA watatu ilikuwa ki fast spreading ya maneno kwamba mason ndiyo inayowapa chapaa na siyo kipaj chao halisi. HIVYO WALIAMUA KUJIBU HUMO kwenye hyo ngoma.>>>> refers 1/RICK ROSS- Free...
  9. LEMBIJA

    Prof. Kabudi: Makonda kavunja sheria na faragha za watu kuwaita wanawake na watoto. Ilitakiwa kuwa siri sio alivyofanya

    Tatizo kwenye mitandao wanasomaga mabaya tu na kuyafanyia kazi lakin KAMWE HAWASOMI MAZUR MAANA YATAWAHARIBIA RATIBA ZAO.Tulishasema kwamba MH MKUU WA MKOA AMEKOSEA SANA kwasababu hakuzingatia taratibu ikaonekana kama tusemao hivi nasi tunakesi kwake. SIMBA AKILA NYAMA YA BINADAMU HAACHI
  10. LEMBIJA

    TLS: Chama ndani ya nchi isiyokuwepo

    Mheshimiwa ukishasema tanzania maana yake ni tanganyika na zanzibar. Rejea kusoma UNION AND NON UNION MATTERS nadhani utapambanua vuzur zaid. Ila pia naona kama unanileta kwenye suala la serikali tatu hivi!!??? MI HUKO SIMOOOOOOO
  11. LEMBIJA

    TLS: Chama ndani ya nchi isiyokuwepo

    Usimtukane wala kumdharau usiyemjua/aliyeomba msaada. Ndugu yangu,tanganyika ipo. Ila linapokuja jambo la muungano tunakuwa ni TANZANIA. Wamejiita TLS kwasababu kula upande wa zanzibar wao wana ZLS. Ila kama ingekuwa taasisi ni moja tu basi tungetumia TANZANIA LAW SOCIETY. Ni hayo tu mheshimiwa!!.
  12. LEMBIJA

    Msaada wa ZIP code ya Arusha

    Kwa arusha town nadhani ni 23 ila inabid ujue KATA/VILLAGE unayohitaj mkuu. Welcm
  13. LEMBIJA

    Aliyedai kuwa mtoto wa Lowassa akamatwa na Polisi. Ni baada ya kuomba radhi

    Hivi jamani hadi leo hatujazoea hizi political games?? HAKIKA NAWAAMBIA HII NI KUTOANA KWENYE RELI TU. Ukiona imefumka kiki kubwa,BASI JUA KUNA JAMBO KUBWA SANA LA KITAIFA NA HAWATAKI WANANCHI TUFAHAMU. Sometimes naimis sana ile JF ya zamani,THE REAL GREATE THINKERS bt nt for nwdays. Tutumie...
  14. LEMBIJA

    Kwa interview hii, bado robo ROMA atausema ukweli juu ya watesi wake!

    Hawatabiriki hao wasanii,hata maisha yao yakisanii sanii tu. UNAEZA SHANGAA BADALA YA KUWATAJA AKAJA SEMA ANAHAMIA CCM.. Tuwaacheni tu na matumbo yao bhana
Back
Top Bottom