Search results

  1. mzee wa Imani

    Mimi ni Nani?

    wewe ni mimi,mimi ni wewe,sisi ni mungu.
  2. mzee wa Imani

    Majesuit ndio walimuua Abraham Lincoln

    Unatetea mafundisho ya MNYAMA???usipochunguza Maandiko na kuyaelewa HAKIKA UTAANGAMIA.
  3. mzee wa Imani

    Majesuit ndio walimuua Abraham Lincoln

    HAL HALI YAKO NI MBAYA KIUJUMLA
  4. mzee wa Imani

    Kupatwa kwa Jua: Sayansi imethibitisha Mungu hayupo

    Kuhusu kupatwa kwa jua ata Biblia imeeleza,,labda mtoa mada hupendelei kusoma Biblia . Yoeli 2:30 . Nami nitaonyesha mambo ya ajabu katika mbingu na katika dunia, damu, na moto, na minara ya moshi. Yoeli 2:31 . Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla haijaja hiyo siku ya Bwana...
  5. mzee wa Imani

    Gaddafi dikteta mwenye mafanikio, wosia wake waanikwa

    Napenda kuwa kama Gaddafi japo kuna sehemu inahitaj marekebisho
  6. mzee wa Imani

    Ni kweli kwamba papa ni freemason?

    Ukimfahami MNYAMA pamoja na JOKA katika Unabii WA Biblia,,bila shaka utamfahamu huyo jamaa vizuri
  7. mzee wa Imani

    Roho ni nini? inaenda wapi baada ya kufa?

    *JE, YESU NI MWANA WA MUNGU?*‍♂ Hilo☝ ni swali ambalo linawasumbua watu wengi sana hasa wale wenye imani tofauti na ya Kikristo. Wamekuwa wakipata shida sana katika kulielewa hili jambo lakini kwa neema ya Mungu leo wote wanaenda kupata majibu ya swali hili tena ni jibu thabiti kibiblia. Ndugu...
  8. mzee wa Imani

    Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

    PIA KUNA MABARA 7 1, bara la afrika 2, bara la asia 3, bara la amerika ya kaskazini 4, bara la kusini 5, bara la antaktika 6, bara la ulaya 7, bara la austaria
  9. mzee wa Imani

    Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

    Ukuta wa Yeriko ulizungukwa mara siku 6@siku mara 1 siku ya 7 ulizungukwa mara 7 na walivopiga kelele ukuta ukaanguka wenyewe
  10. mzee wa Imani

    Africa Tuungane kupinga ukoloni mamboleo.

    Nim Nimeipenda hio,,,.Acha wazungu walete teknolojia mpya na,nzur kiasi gani,,ila mwisho wa siku zitatufaidisha ss(mkubwa lazma amtumikie mdogo)
  11. mzee wa Imani

    Kuna wajinga hawataki kulikomboa taifa lao.

    Kama ni viongozi walioiba ni wao,,aibu ni yao,,tukiendelea kulalamika upinzanupnzan,,wallah hatutafka mahala,,Tuungane tukemee unyonyaji wa,hawa makaburu.
  12. mzee wa Imani

    Tusipofanya hili wenyewe, wazungu watatupunguza kwa nguvu!

    Kuna point hasi na chanya kulingana na mada,ngoja nianze na hasi kwanza. 1-Kuzaliana kwa wingi bila mpangilio kunaongeza umaskini kwa kias kikubwa mnooo,kutokana kwamba,watoto watashindwa kusoma,,kupata huduma nzur za afya na kupelekea madhara makubwa baadae kwa taifa(kuwa na kizazi cha...
  13. mzee wa Imani

    Africa itachukua miaka 500 kuwa kama America na Ulaya- Bill Gates

    LAANA Kumbukumbu la Torati 28:14 . msipokengeuka katika maneno niwaamuruyo leo kwa lo lote, kwenda mkono wa kuume wala wa kushoto, kwa kuifuata miungu mingine na kuitumikia. Kumbukumbu la Torati 28:15 . Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, usiyaangalie kufanya...
  14. mzee wa Imani

    Africa itachukua miaka 500 kuwa kama America na Ulaya- Bill Gates

    LAANA Kumbukumbu la Torati 28:14 . msipokengeuka katika maneno niwaamuruyo leo kwa lo lote, kwenda mkono wa kuume wala wa kushoto, kwa kuifuata miungu mingine na kuitumikia. Kumbukumbu la Torati 28:15 . Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, usiyaangalie kufanya...
Back
Top Bottom