Search results

  1. N

    NBC Bank Tanzania

    hatariiii
  2. N

    CHADEMA:Jasho, vumbi, maumivu, na hata damu ndo ukombozi wenu

    ukombozi hauji kwa lelemama
  3. N

    Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wapokelewa kwa shangwe Mbozi

    ccm na hao vijana kwa pamoja hawajui walitendalo
  4. N

    Natangaza rasmi kugombea udiwani kata ya Igoma jijini Mwanza kupitia CHADEMA 2015

    Kamanda tuko pamoja CHAGULANI kesho ndo hukumu yake...Pia kuna tetesi kuwa anahamia CHAUMA.....
  5. N

    Natangaza rasmi kugombea udiwani kata ya Igoma jijini Mwanza kupitia CHADEMA 2015

    Pambana kamanda saa ya ukombozi ndio hii...nasikia diwani juzi aliitisha mkutano wa hadhara maeneo ya kwake hakupata wadau...watu washakata tamaa nae..kwa sasa wanakuunga sana mkono wewe...na wanasubilia kwa hamu hukumu yake hapo trh 31.05.2013.baada ya hukumu wanasema watahakikisha...
  6. N

    Natangaza rasmi kugombea udiwani kata ya Igoma jijini Mwanza kupitia CHADEMA 2015

    Kamanda mambo vip...harakati zinaendaje pande hizo...nilikuona wiki iliyopita ukiwa kwenye mkutano wa CHAMA mtaa wa kishiri..ulikua na viongozi mbalimbali wa chama ngazi ya wilaya pamoja na matawi ya Kata ya Igoma..Nakutakia kila la kheri kamanda wangu.Viva CHADEMA.Pia nasikia fununu unataka...
  7. N

    Natangaza rasmi kugombea udiwani kata ya Igoma jijini Mwanza kupitia CHADEMA 2015

    Kuziba nafasi ya chizi ADAM CHAGULANI....ambae amekisaliti chama
  8. N

    Natangaza rasmi kugombea udiwani kata ya Igoma jijini Mwanza kupitia CHADEMA 2015

    huyo dogo namjua..........sasa naona kaamua kuwatetea na kuwatumikia wana igoma 2015....kila la heri bro
  9. N

    Tanroad morogoro

    jamaa angu kapigiwa simu leo....na amepta kazi bila kujuana na m tu yoyote tena jamaa ni mwalimu
  10. N

    News: Aloyce Kalunde kugombea ubunge jimbo la Sumve wilayani kwimba 2015

    pia wajiandae kukutana na yule jamaa wa CCM B amabae uchaguzi uliopita alihongwamilion 30 na ndassa.....akashindwa kwa tofauti ya kura 1200....kwa sasa ni diwani wa kata ya Lyoma......anaitwa JULIUS SAMAMBA
  11. N

    Kamanda mawazo kuongoza moto wa m4c igoma-mwanza 2/1/2013 .

    MBONA HUYO KAMANDA nICKY anatajwa sana huku Igoma kwani ni vipi?????????
  12. N

    Kamanda mawazo kuongoza moto wa m4c igoma-mwanza 2/1/2013 .

    Umesomeka sana mkuu...huyo NICKY nimemsika sana wana Igoma wanamwitaji nasikia ni kijana wa hapo hapo igoma...babu yake alishawahi kuwa diwani wa CCM miaka ya nyuma....mama yake nae alikiua diwani wa CCM viti maalum badae akagombea kata ya Buswelu..pia Mzee wake alikua Mwenyekiti wa CCM Kata ya...
  13. N

    Katibu wa BAVICHA Njombe Kusini afariki dunia!

    R.I.P Kamanda
  14. N

    CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

    Acha kuwadanganya watu wewe IDUDUMLWA....Kwanza ratio uliyoitoa haipo yaani ya jumla ya kula 19....CCM wana madiwani 6,cuf 2,cdm 8 jumla na mbunge.
  15. N

    Msaada..nimeitwa interview ya mtendaji wa kata

    Ndugu wana JF naomba mnijulishe maswali yanayoulizwa na TUME YA AJIRA kwa wale waliowahi fanya nao interview ya utendaji wa kata.Nawasilisha
Back
Top Bottom