Search results

  1. suma Nongwa

    Natafuta hii bidhaa ya Rose quartz

    Habari wakuu naomba kupata taarifa ya bidhaa hii katika ardhi yetu ya Tanzania Kwa maana ya mkoa husika Na wilaya lakini pia itapendeza zaidi ikipatika video au picha ya bidhaa hii Ahsante
  2. suma Nongwa

    Marafiki mlio mkoani Lindi wilaya ya liwale tujuane

    Habar zenu wakuu Kama kichwa kinavyosema, kwa sasa nipo wilaya ya liwale mkoani Lindi km kuna marafiki tuwasiliane hapa ili tupate kujuana Naomba kuwasilisha
  3. suma Nongwa

    TANZANIA ADMNISTRATiVE SUPPORT SERVICES LIMITED

    Tunatoa huduma zinazopatikana BRELA, Idara ya uhamiaji na Mifuko ya hifadhi ya jamii(kwa makampuni) 1.Huduma za usajili wa makampuni na majina ya biashara katika mfumo wa ORS 2.Huduma za uhakiki wa taarifa za makampuni na majina ya biashara katika mfumo wa ORS. 3.Huduma za baada ya usajili wa...
  4. suma Nongwa

    Nauza nguo za aina mbalimbali za wanawake

    Kwa mahitaji ya nguo za aina mbalimbali za ndani kwa ajili ya wanawake zinapatikana kwa bei ya jumla Ni nguo zenye quality nzuri kabisa kutoka Egypt Kwa mawasilano zaidi tumia anuani zifuatazo 0679 746540 kwa ajili ya kupiga 0716 173390 kwa ajili ya whatsapp au Email...
  5. suma Nongwa

    Nauza mapambo aina ya Hurricane Candles kwa bei ya jumla na Rejareja

    Zipo aina mbalimbali kulingana na mahitaji ya mteja mfano kwa ajili ya birthday,Harusi,Sikukuu mbalimbali kama eid al fitri ,Christmas,Pasaka na kumbukumbu mbalimbali za kimaisha Pia kwa anayehitaji kuweka picha,logo binafsi n.k unaweza weka order yako ili tukutengenezee kwa ajili ya kutangaza...
  6. suma Nongwa

    Mayai ya kuku wa kienyeji

    Habari zenu ndugu zangu. Nahitaji ufafanuzi kuhusu Soko la mayai ya kienyeji na maelezo sahihi juu ya mkoa/mahali yapopatikana kwa wingi. Naomba kuwasilisha
Back
Top Bottom