Search results

  1. W

    Nimepoteza mwendo au mzunguko wa siku zangu za mwezi

    Watanzania wote na nchi zote nawasalimia naomba mnishauri / mnipatie dawamimi nina umri wa miaka 40 sieleweki na tatizo langu lina kama mwaka sasa nilikuwa natumia dawa za uzazi wa mpango toka nimeacha ndo yananitokea haya na maziwa yangu huwa kama mtu mjamzito nikikaribia siku zangu nimeenda...
  2. W

    Nauliza tiba ya Moyo figo na mkono wa kulia kukakamaa na kuuma sana nisaidieni

    Wakuu heshima mbele. Mzazi wangu ana umri wa miaka 70, hivi karibuni kafanyiwa uchunguzi wa afya yake kwa kupigwa x-ray na kukutwa na tatizo kwenye moyo na mapafu baada ya kutumia dawa kwa muda wa miezi miwili mfululizo akaanza kuumwa figo na mkono wa kulia joint za viganja zinauma sana na...
  3. W

    Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana Igunga

    Mbona nape yuko kimya kiasi hicho?
  4. W

    Ombi letu wanywaji(alcoholics)

    One for the road.
  5. W

    Elections 2010 RAI - Mgogoro CCM: Siri nzito zavuja; Mgogoro wa Arusha ni urais wa 2015

    Upuuuzi upuuuzi tu. Unajua ccm iko dodoma pale,iko lumumba. Mikoan na wilayani ni umbea umbea tu.
  6. W

    Ng'hily Kuhojiwa na Police Kanda Maalum

    Utaratibu huu umeanza lini? Kwa nini usiandikiwe ili tuweke kumbukumbu vizuri?:A S 100:
  7. W

    Kamanda Nzowa ajitokeza, ataja mchungaji anayejihususha na dawa za kulevya

    Yupo nchi hii, hebu tupeni more details za mch huyo.
  8. W

    Ni wapi naweza kupata nyama safi ya Kitimoto for the weekend hapa Dar

    Mods badilisheni heading ili tuone coverage ya kitimoto nchi nzima. Nimefurahi hii ya dar lakini pale iringa mabanda ya ccm ni "waiti pepa" ya kufa ntu.
  9. W

    nifanyeje ili niwe banned?

    Ndo umeanza kutafuta ban
  10. W

    Ulinzi wa ajabu Central Police kwa ajili ya Mbowe; asafirishwa kwa ndege ya JWTZ kwenda Arusha!

    Kila ngoma ikipigwa na cdm, ccm wanaicheza tu hata kama staili yake hawaijui. Rahaaaa
  11. W

    Nimeamua kuwatetea Lowassa, Chenge na Rostam

    Ok, ok, hutaki majungu, fitina, ghiriba. You only need evidence, siyo? Tell me....
  12. W

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Michango aina hii ni plobulemu, plobulemu sisi ndo plobulem!
  13. W

    My opinion: CCM fukuzeni mapacha watatu sasa au nyamazeni

    Tuwe serious! C c M imechokaaa, na kawaida la kuvunda halina ubani. Yule mnajimu anajua hata tungefukiza ubani toka maskati
  14. W

    Mbowe ashikiliwa Central Police

    Kwa ugeni wangu humu:shut-mouth:
  15. W

    My opinion: CCM fukuzeni mapacha watatu sasa au nyamazeni

    This time watatuambia tu, kudadadekii
Back
Top Bottom