Search results

  1. desmond dekker

    Watu 14 waaga dunia kwenye ajali iliyohusisha basi la Chuo Kikuu cha Pwani

    Wapumzike kwa amani waliohusika...mwanga wa milele uwaangazie huko waendako
  2. desmond dekker

    Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

    Mshana njoo humu ndani majukumu yanakusubiri uje utoe huduma pevu
  3. desmond dekker

    Bunge la Kenya matatani na balozi wa Marekani kuhusiana na ushoga

    Hapa Kenya watachomoaa...mmarekani hatawezana na pasua vichwa hao..pengine itokee otherwise
  4. desmond dekker

    BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

    BAKWATA kwenye ubora wao...duh!!
  5. desmond dekker

    Mke analia bila kukoma baada ya kupata pesa bila kumwambia

    Huyo ni mwandani wako eti...mwenyewe unamfahamu vizuri kwa hiyo utakuwa na maarifa yote kwa lengo la kusuluhisha hilo jambo
  6. desmond dekker

    Mwanafunzi afariki wakati mama yake mzazi akijaribu kumtoa mimba

    Hapa jeshi la polisi linahusika!!mshukiwa utakuwa amekimbia ..
  7. desmond dekker

    Nimeshangazwa na binti anayejiita Mlokole ila anajiuza kwa siri

    Muungishe hapo mwenzio si biashara kama nyingine tu?!!
  8. desmond dekker

    Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

    Hapa utakuta jamaa kahudumia saaaana kwahyo anajihisi kule kukaribishwa na mdada itakuwa mambo yametiki...so usimshangae manake unafaham ambavo jamaa kajitutumua kutoa hudumaa. Ila kufata mchuchu nyumbani kwake si huko ni kujiweka kwenye maeneo ya hatari?vipi akitokea mdingi flan hivi...
  9. desmond dekker

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Tena isiwe kwamba katika harakati za kudidimiza ushoga itokee tabia za upotovu zinaungwa mkono..
  10. desmond dekker

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Ze more people are getting involved in these kind of discussions,the more this topic is being popularised
  11. desmond dekker

    Nawalaani wanaume wote waliodiriki na wanaoendelea kuwafanya kinyume na maumbile vijana wa kiume

    Sio kwamba zinapendeza ila ndo ivo...kwa hili wazazi hatulazi damu...ikiwezekana na maandamano tunaenda Kwa hyo umewafumania?
  12. desmond dekker

    Nawalaani wanaume wote waliodiriki na wanaoendelea kuwafanya kinyume na maumbile vijana wa kiume

    Umeandika kwa uchungu mno...warekebishe hiyo sio poa kuingiliana kinyume na maumbile wakati mipododo ipo ya kutosha
  13. desmond dekker

    Makamu wa Rais, Dkt. Mpango akemea ndoa za jinsia moja

    Duh!!mijitu itakuwa inasasambuana vimba kinyama...mpk kufikia naibu wa rais kutoa tahazari ya hivo sio utani
Back
Top Bottom