Search results

  1. I

    Nahitahi gari Nina 4m

    Habari wakuu, nahitaji gari iwe vitz, paso, duet, swift, iwe na hali nzuri na namba kuanzia C. Aliyenayo anipm
  2. I

    Carpet to sale

    Habari wakuu, nauza kapeti la kukata kubwa lenye ranging ya maroon Bado Jipya na limeshafuliwa Ukubwa wake ni miguu 12kwa16 Nakupa na dogo kenye miguu 5kwa12 Lipo tegeta 140000 0712623938
  3. I

    American fridge for sale

    Habari wakuu, Friji kubwa na nzuri na bado mpya inauzwa. Upande mmoja fridge mwingine freezer pia INA water dispenser. mwenyewe anahama nchi ndio sababu ya kuuza. 1.2m IPO tabata kinyerezi 0712623938
  4. I

    Vitu used

    Wakuu mimi najihusisha nakuuza na kununua vitu used ikiwa ni furniture, electronics, toys vifaa vya jikoni. kama una kitu unauza au unataka nitafute kwa namba 0712623938
  5. I

    Natafuta frem mbezi beach

    Wakuu, natafuta frem maeneo ya mbezi beach kuanzia tangibovu mpaka afrikana, iwe inatazama bagamoyo road.
  6. I

    Nguo za mtumba za watoto

    Habari wakuu, nataka nianze biashara ya nguo za watoto za mtumba Naomba kujua ntapata wapi nguo grade A na kwa bei gani na nianze na mzigo kiasi gani
  7. I

    Niuzie pikipiki aina ya fekon au boxer

    Wakuu nahitaji pikipiki aina ya fekon au boxer bajeti yangu. Kama unayo na ina hali nzuri na document zote nitafute 0712623938
  8. I

    Njoo nikutangazie bidhaa unazouza instagram

    Wakuu tuna page instagram ya kutangaza vitu used vya majumbani, ofisini na vitu vya watoto vinavyouzwa kwa bei nafuu, usitupe kitu usichohitaji tena, kumbuka cha zamani kwako kipya kwetu. tutafute kwa namba 0712623938 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. I

    Niuzie meza za ofisini na viti

    Wakuu kama uzi unavyosema, nahitaji meza na viti za ofisi, kama unavyo pm Sent using Jamii Forums mobile app
  10. I

    Account instagram

    Wakuu nataka kununua account insagram yenye followers wengi wa hapa Tanzania kwa ajili ya biashara yangu ya mtandao, aliye nayo please pm Sent using Jamii Forums mobile app
  11. I

    Wapi ntapata belo nzuri za nguo za watoto

    Habari wakuu, naomba anayejua wapi ntapata bello za nguo za watoto za mtumba grade isiyo na lonya nyingi. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom