Yah umemshauri vyema mkuu..kabla ya kwenda sehemu ya kukusanya mzigo ahakikishe ameweka mpango vizuri wa leseni ya ku deal na biashara ya Dagaa.
Maana bila hivyo,, hataweza kuusafirisha mzigo wake.
KIMOYOMOYO napapata vyema mkuu.
Hahaha..mkuu kisiwani watu wengi wenyeji wa huko washajikataa aseh.
Huko kwa mgeni ni kwenda ku deal na kilichokupeleka tu.
Hiyo Kerebe mimi sijawahi fika aseh,, mi nacheza na hiyo MULUMO.
Inategemea sasa ndg unataka kwenda kisiwa cha wapi..
Binafsi,, nina taarifa na kisiwa kimoja kinachoitwa MULUMO, kutoka mwanza mpaka hapo kuna wastani wa Shilling 25000.
Kwa experience ya visiwa vya Bukoba mvua zinaweza nyesha kwa huu mwezi wa 9 na 10 pia.
Lakini nachoweza kukushauri ni kwamba ingia mzigoni mkuu upige kazi,, kwenye icho kipindi cha mvua,, mzigo unaweza kuwa changamoto kukusanya lkn uzuri ni kwamba ukiupata, sokoni pia utauza kwa bei nzuri sana.
Mfano katika kipindi hiki,, bei kidogo ipo juu maana mvua zinanyesha sana huko visiwani, kwahiyo Kuna uhaba wa jua( Nishati inayotumika kukausha Dagaa).
Dumu linauzwa hadi Shilling 24000/=.
Gunia linakuwa na ujazo wa Dumu 20 au 10.
Uzito wake waweza kuwa Kg 80 kwa gunia lenye ujazo wa dumu 20...
Biashara ya Dagaa haina bei fixed(wakati wa kununua), huo ndo ukweli.
Bei yake inabadirika kwa kila Giza( Hiki ni kipindi ambacho uvuvi wa Dagaa ufanyika ndani ya kila mwezi,, simply ni kipindi ambacho kunakuwepo na giza kabla ya mbalamwezi kuanza kuchomoza).
Pia kwenye Giza hilo hilo, bado...
Hii itakuwa ni michuano ya kwanza ya Dunia inayoshirikisha jumla ya vilabu 32 mnamo mwaka 2025.
Hii ni tofauti na ya sasa inayoshirikisha pekee vilabu bingwa kutoka kila bara.
Upatikanaji wa vilabu hivi tajwa ambavyo vishapitishwa moja kwa moja kushiriki ni kwa kufata kigezo kimoja tu ambacho...
Mbwa mara nyingi ugongwa nyakati za usiku. Hii ni kwasababu;
Wakati wa usiku barabara zenye rami utunza joto,, ambalo mnyama Mbwa upendelea zaidi kulala barabarani kwa lengo la kulifaidi joto hilo.
Usingizi na joto hilo umlaghai na kuhisi yupo sehemu salama hivyo kujisahau mpaka kufikiwa na ajali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.