Search results

  1. mbalazo docta

    Udahili kwa vyuo ngazi ya cheti na diploma umeanza rasmi leo

    Samahani je ni kweli watu wa cheti na diploma wanaweza kupata mkopo???
  2. mbalazo docta

    Foundation course bado IPO

    Wana jforum naomba kufahamishwa km foundation course inatumima miaka hii ya sasa na huwa inakuwaje kuwaje.?? NB jukwaa la elimu usijibu kidaku mbona majukwaa ya udaku yapo tu hujui kitu kaa pita kushoto kwenye huu Uzi watu wanashida ya kufahamu
  3. mbalazo docta

    Msaada ualimu cheti>>>chuo kikuu

    Cheti ni miaka miwili
  4. mbalazo docta

    Msaada ualimu cheti>>>chuo kikuu

    Nimemaliza kidato cha sita nikapata ESS nikaapply cheti ualimu (grade A) Je ntafika chuo kikuu kwa njia gani ?? Nifahamisheni Tafadhali [emoji120][emoji120][emoji120]
  5. mbalazo docta

    Uongo gani wa mwanasiasa uliovunja rekodi kwa mwaka 2017?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  6. mbalazo docta

    Kama leo hii CHADEMA wangeshika nchi sijui ingekuwa kwenye hali gani!?

    Ingekuwa ICU nasasa tungekuwa kwenye purukushani za kuwaondolea kinga baadhi ya wakuu wa nchi ili wakafungwe shubaaahamit Jema lingekuwa moja tu hadi mwanangu angekuwa anaweza kumiliki efu kumi yake Na mm ningekuwa fisadi Chezea upigaji wewe
  7. mbalazo docta

    Shindano la CECAFA kwa Zanzibar lageuka kuwa harakati ya kisiasa, sio soka peke yake

    Na bado kipo kingine kikitokea tu tutaona makubwa zaidi ya hayo unayostaajabu Leo Mama wakwmbo ..........hulala na dady sio mama
  8. mbalazo docta

    Maswali magumu ya kisiasa kwa Zitto Kabwe

    [emoji120] [emoji120] badala ya kusema ulivyomuelewa ambavyo ni tofaut na hoja zote hapo juu umeandika kisha umejificha nyuma keyboard toa facts mzee nn cjaelewa na nn kimemaanishwa
  9. mbalazo docta

    Maswali magumu ya kisiasa kwa Zitto Kabwe

    Hilo ni swali ambalo mh zitto anataka kila mmoja ajiulize mwenyewe katika nafs yake ( kuna sababu ya kutafakari) j Je sababu za Hawa kuhama zipo ndani yetu ??? Swali hilo lilikuwa na maana sawa na unaxhouliza sasa ref: hapo juu
  10. mbalazo docta

    Maswali magumu ya kisiasa kwa Zitto Kabwe

    Point ya msingi ni kuunga mkono kilicho bora na chenye kuleta maendeleo na sio kuunga mkono upinza hata kama ni upinzani basi wenye maendeleo na sio wakupiga kelele tubadilike wapinzani
  11. mbalazo docta

    Maswali magumu ya kisiasa kwa Zitto Kabwe

    Tunajadili wapinzani ambao kila siku wanavutia katika maongezi yao ya kulalamikia hali ngumu maji nk vitu ambavyo kila mtu anajua ..... Na kuhusu sehemu ya majimbo ambapo hakuna wapinzani basi viongozi wanaweza kufata ushaur ili kufikia malengo @zittokabwe ametoa ushauri kutokana na hali ya...
  12. mbalazo docta

    Maswali magumu ya kisiasa kwa Zitto Kabwe

    Ongeza mfano alioutoa wa kiongozi kubadili uendeshaji wa siasa kutoka kweny kulalamika hadi kutatua changamoto zinazoikabili jamii anayoiongoza
  13. mbalazo docta

    Nipo njia panda

    Kikubwa kaza uwe na principal pass za kukuwezesha kusoma university hapo utapata coz nying tu za afya
  14. mbalazo docta

    Nipo njia panda

    Hata dip wanazingua namatokeo yangu (cwez weka hadharan labda inbox) lakin bado nipo mtaani
  15. mbalazo docta

    Zitto Kabwe aulizwa swali gumu Twitter, alivyojibu imeshangaza wengi

    Great thinkers mnafata upepo hahahahahah Kwani akisema utakutana ziwa furani ------>akimaanisha ; utakutana na wenye serikal anaoshirikiana nao hapo vp ............kiongozi wa chama oyeeeeee By kada mzuri tu chama Sent using Jamii Forums mobile app
  16. mbalazo docta

    Je, kuna uhusiano wowote kati ya IMMA advocates na sakata la ufisadi wa EPA?

    [emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  17. mbalazo docta

    Je, kuna uhusiano wowote kati ya IMMA advocates na sakata la ufisadi wa EPA?

    Tatizo thread haiendani na mawazo yako mkuu ndio maana kila anayechangia lazima umfafanulie upya next tyme protect ur thread Sent using Jamii Forums mobile app
  18. mbalazo docta

    Hassan Ngoma wa Clouds wacha kupotosha Umma

    Mkuu kama utakuwa makini ebu jiulize ni kwa vipi anaweza kunufaisha chama kwa maneno hayo au mtoa post kamuona hasan ngoma ni lasaba asiyejielewa kuna mambo yakibinadamu na MTU anatakiwa kuhukumiwa kulingana na situation na sio kuingiza swala la uchama hapo mzee au we huoni kuwa lina nafas kidgo...
Back
Top Bottom