Search results

  1. za chembe

    Leo nmekula sahan mbili za wali maharage samak na kisamvu

    Sahani mbili tu ndo unafungua thread?njoo huku udzungwa watu tunafuta vijisinia deile. Japo kwa dar mkuu ni halali kwenu, ila huku hizo sahani ni za under17
  2. za chembe

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Toeni maelekezo ya kujiunga
  3. za chembe

    Thomas Tuchel kocha mpya PSG

    Si bora wangemchukua hata El cholo Simeon
  4. za chembe

    Tukumbushane Ma "pro" waliowahi kucheza VPL

    Mwalala, Ambani, shikokoti tall
  5. za chembe

    Tukumbushane Ma "pro" waliowahi kucheza VPL

    Mark sirengo
  6. za chembe

    Tukumbushane Ma "pro" waliowahi kucheza VPL

    Lino musombo
  7. za chembe

    Tukumbushane Ma "pro" waliowahi kucheza VPL

    Wasso ramadhan wasso fullback
  8. za chembe

    Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

    Germany machine the only team since the start of new millenium to reach semi final of every WC tournament[emoji109][emoji109]
  9. za chembe

    Hodii

    Nifuate pm kuna maelekezo
  10. za chembe

    The best Tanzanian Football Player of All the Time

    Sunday manara heracles wanamjua kua ni mchawi mweusi
  11. za chembe

    Mkikutana na JB mnaomba selfie, naye akikutana na Coutinho anabembeleza selfie

    Yap simple like that, mtu mfupi lazima unyanyue uso umuone mrefu
  12. za chembe

    Mkikutana na JB mnaomba selfie, naye akikutana na Coutinho anabembeleza selfie

    Yaani ni sawa na uje nyumbani halafu mi ndo nikupigie hodi haipo hiyo
  13. za chembe

    Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

    Siendagi kiboya, ila nahisi huwa napitiliza maana inafikiaga muda ni kama interrogation ya gestapo
  14. za chembe

    Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

    Kwahiyo niwe na uso wa mbuzi, kauli kavu, na ugumu kimtindo ndo nitakubaliwa?
  15. za chembe

    Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

    Mbona mi najiamini lakini aah wapi boko!, kweli bongo nyoso
Back
Top Bottom