Search results

  1. A

    Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC

    This is mere speculation. THE REALITY is mtu pekee ninayemfahamu na aliyeteuliwa/chaguliwa kushika nafasi ya kitaifa, angalau kama tulivyoelezwa na CCM, kwa kuzingatia jinsia yake ni mama ANNE MAKINDA, mwanamke Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa maoni yangu hicho...
  2. A

    AL JAZEERA NAIROBI? why not DAR ES SALAAM?

    Nairobi ndipo penyewe, ni mwafaka kabika. Hapa kwetu vikwazo vingi mnoooo. Ninawakaribisha
  3. A

    Elections 2010 CHADEMA na madiwani Arushaa

    Waondoke. Waende, hata kama cdm watapoteza hizo ni sawa tu.
  4. A

    AL JAZEERA NAIROBI? why not DAR ES SALAAM?

    mimi ninamshauri tido mhando atafute kazi huko, panamfaa. Tbc hapakuwa mahali pake, wananchi bongo lala na wanaongozwa na bongochafu. Aljazeera hawapaswi kuja tz kwa sababu tv za tz zinafanya reporting, aljazeera analyses kwa wingi. Bongo chafu hawatawaruhusu ku-analyse bajeti, hotuba zao nk...
  5. A

    Kwa polisi hawa je, tutafika?

    Kama mfanyabiashara nimekuwa nikisafiri mara kwa mara na kushuhudia magari yakikamatwa na trafiki polisi ambao mimi ninawaita polisi rushwa kwa tuhuma mbalimbali kama vile speeding, gari kuwa chafu, bima kuisha, madereva kutokuwa na leseni, breki zenye matatizo, nk. Hata hivyo sijawahi...
  6. A

    Igp mwema: Je, ni traffic polisi au polisi rushwa?

    Kama mfanyabiashara nimekuwa nikisafiri mara kwa mara na kushuhudia magari yakikamatwa na trafiki polisi ambao mimi ninawaita polisi rushwa kwa tuhuma mbalimbali kama vile speeding, gari kuwa chafu, bima kuisha, madereva kutokuwa na leseni, breki zenye matatizo, nk. Hata hivyo sijawahi...
  7. A

    No control over Religious radio stations over hate speeches

    Hili ni jambo muhimu sana kulijadili, lakini du sijui kama WATANZANIA wako tayari kujadili mambo muhimu kama haya: wao hujadili simba na yanga. Maoni yangu ni kuwa vyombo hivyo vya habari vitaleta maangamizi muda si mrefu ujao. Serikali wanalitambua hilo, ila hawachukui hatua kwa kuwa habari...
  8. A

    kwa nini kwenye picha ya muungano ni nyerere pekee akichanganya udongo na karume haonekani?

    This is blatant absurdity. JAMII FORUM nashauri tujadili mambo ya maana siyo watu na matukio ...
  9. A

    Kwa nini ccm isiniruhusu nigombee udiwani, ubunge & urais kwa pamoja?

    Kwa mujibu wa Katiba ya sasa ya Tanzania (ILIYOTUNGWA NA CCM) ya 1977 na sheria za uchaguzi mTanzania anaruhusiwa kugombea ama udiwani, au ubunge, au udiwani na ubunge kwa pamoja au urais. Mtanzania hawezi kugombea udiwani, ubunge na urais kwa wakati mmoja kama ilivyo kwa Kenya, Marekani na nchi...
  10. A

    Kikwete ni muongo nilikuwa sijui

    Tuachane na magamba. Mimi binafsi nimeshuhudia mara kadhaa Kikwete akiongopa live. Ntasema moja. Ninakumbuka wakati wa kampeni za urais 2010 Kikwete akiwa ULYANKULU Tabora, ktk wilaya ya Urambo, aliwadanganya wananchi kuwa kabla Julai 1, 2011 ataanzisha jimbo la uchaguzi la ULYANKULU na kutakuwa...
  11. A

    HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT

    All that I know is that she is with a diploma in accountancy from the IDM Mzumbe. No wander she has failed miserably to man the Bunge ...
  12. A

    "Dikteta" Nyerere alipotua White House in a State Visit 1963 [VIDEO]

    Otherwise it is great Mwanakijiji, but "Dikteta" nooooooo
  13. A

    Ukatiri na unyanyasaji wa mbowe wadhihirika

    madaya ............ Puuuuuuuuuuuu, pumba tupu.
  14. A

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Let s waite and see ...
  15. A

    Serikali yashindwa kulipa wafanyakazi, yapunguza maslahi kimyakimya

    Jamii Forum is the home of great thinkers, and thinkers argue, support their arguments with concrete evidence. MOPAOZI sustantiate your claims with evidence. Otherwise, thanks for your comments ... Like you if I were a fool, I would prolong your unreasoned shouts.
  16. A

    Serikali yashindwa kulipa wafanyakazi, yapunguza maslahi kimyakimya

    Sasa ni dhahiri, KIKWETE nchi imemshinda. Serikali yake imeshindwa kulipa watumishi stahili zao. Mishahara yashushwa, posho zapukutishwa na hakuna malipo kwa wafanyakazi wapya wanaoanza kazi. Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma (Standing Orders) zafanyiwa marekebisho. Kwa mujibu wa Gazeti la...
  17. A

    Ngawaiya: CHADEMA wanapewa pesa na Marekani kuchochea fujo

    NGAWAIYA na CCM mmeishiwa ile mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaya, bidhaa yenu ya ufisadi mliyoiweka sokoni sasa haiuziki mkubwa. Mnabwabwaja tuuuuuuuuuu
  18. A

    Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

    Nakushkuru kwa kukubaliana na mimi kwamba Bunge lina uwezo na mamlaka ya kikatiba ya kurekebisha bajeti ya serikali ikiwa ni pamoja na kuikataa yote, au siyo? Mimi sina nongwa na MAKINDA, MTANZANIA MWENZANGU
  19. A

    Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

    Spika Makinda anasema kwamba, "Baada ya hotuba ya bajeti kusomwa Bungeni, Bunge haliwezi kuibadilisha kitu." Spika kwa lugha nyingine anasema, Bunge halina kazi ya kufanya, na kwa nini walipwa kukaa Dodoma kikao cha bajeti wakati hawana cha kufanya? Siamini, na ndiyo maana nimeshtuka sana na...
  20. A

    Tundu Lissu na Wenzake waachiwa kwa dhamana na masharti magumu

    NYAMBARI NYANGWINE is a plagiarist, hajawahi kuandika kitabu ila ananakili kazi za watu. Nyambari ni mwizi, huyu ndiye anayepaswa kufikishwa mahakamani
Back
Top Bottom