Search results

  1. WANALIZOMBE

    Kilichowapeleka Simba South Africa, Siri ya Fichuka

    Ndugu wapenzi wa soka la Tanzania, Jambo ambalo timu ya simba wameenda kukifanya South Africa si cha kimichezo kabisa, habari kutoka ndani ya club ya simba imethibitisha kuwa wachezaji wamepelekwa kuongezewa nguvu za kuweza kukabiliana na watani zao wa Jadi Young African. Chanzo hicho cha...
  2. WANALIZOMBE

    Msako wa ndege iliyo potea ya Malaysian bado ni utata.

    Ndege ya Malaysia ; Msako wa wiki mbili haujaleta matunda Kikosi cha kimataifa kinachosaka ndege hiyo yenye namba ya safari MH370 katika eneo la ndani la bahari kusini mwa India kimerejea leo Jumamosi(22.03.2014) katika eneo ambako mabaki ambayo yanashukiwa kuwa ya ndege hiyo yalionekana...
  3. WANALIZOMBE

    Mbunge wa Ukonga upo likizo?

    Wana Jimbo wenzangu wa Jimbo la Ukonga, mbunge wetu Yupo likizo? Wana nchi tunakero nyingi sana, hatukuoni jimboni wala mjengoni?
  4. WANALIZOMBE

    bwana asifiwe

    salaam MA BIBI na MA BWANA, nachukua fulsa hii kujitambulisha kwenu. Ahsanteni
Back
Top Bottom