Search results

  1. C

    NAANZA KUAMINI UHUSIKA WA SERIKALI TUKIO LA KUTEKWA ROMA NA WENZIE

    Ni takribani miezi miwili sasa inakatika huku kukiwa na ukimya wa kushangaza kutoka vyombo vya usalama kuhusu kilichowatokea ROMA na wenzie,mimi kama raia wa nchi hii imeumizwa na kusikitishwa sana na ukimya huu kuliko hata tukio lenyewe la utekaji,haiwezekani raia wanatekwa wanaenda kuteswa...
  2. C

    kura ya maoni kati ya Hashim Rungwe Spunda vs Prof Ibrahim Lipumba

    HASHIMU RUNGWE SPUNDA VS PROF IBRAHIMU LIPUMBA Kati ya hawa wana wanasiasa wawili wa Tanzania,ni nani ambaye unadhani anaweza kuwa na mchango kwa wakati huu katika kupigania ustawi wa vyama vingi hapa nchini na ambaye anaweza kukushawishi kwamba anaweza kuimarisha afya ya vyama vya upinzani?
  3. C

    Najuta kuichagua CCM uchaguzi wa Oktoba 2015

    Ndugu zangu wanaJF, Mimi kijana mwenzenu niseme kwa dhati kabisa kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwamba najuuta kuichagua CCM kuongoza nchi ingawa kwa wakati huo sikuwa na mbadala,niwaombe radhi wote niliokosana nao kwa sababu za kiitikadi kipindi cha uchaguzi kwasababu joto la uchaguzi...
  4. C

    Nina wasiwasi na nchi inavyokwenda

    Niwe mkweli tu kwa kusema kwamba mimi ni mmoja wa watu wanaomkubali sana mkuu wa nchi tangu uchaguzi mkuu wa oktoba 2015,lakini mpaka sasahivi nchi inavyoendeshwa ninapata wasiwasi na mustakabali wake,hivi ni kweli hakuna mtu wakumkosoa mkuu wa nchi? Amekuwa akitoa matamko yenye kushangaza...
  5. C

    Gharama za sherehe ya harusi

    Ndugu zangu wana JF, Mimi kijana mwenzenu naomba kuchukua nafasi hii kuomba kujuzwa gharama halisi za kuandaa sherehe ya harusi, Nimeona nitumie jukwaa hili kwa kuamini ya​ kwamba nitapata maoni na taarifa kutoka kwa watu ambao wameshapita kwenye hatua hii na pia itakuwa msaada kwa ambao...
  6. C

    ni kipi chuo bora kabisa cha teknologia ya computer tanzania?

    wadau kwanza nabisha hodi jukwaani.naomba mnikaribishe.nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi inayoendelea humu JF kwa muda bila kuchangia chochote,si kwamba nilikuwa sioni cha kuchangia,bali nilikuwa nalisoma jukwaa kabla ya kukurupuka.nimetafakari na kugundua hili jukwaa lina manufaa makubwa kwa...
Back
Top Bottom