Search results

  1. rajab177

    Ni ipi tiba ya meno zaidi ya kung'oa?

    Habar za kutwa wana JF Wadau mwenzenu nasumbuliwa na meno, nimeshapata kung'oa mawili(2) na bado mengi matatu(3) yananisumbua ambapo mawili ni ya chini moja la juu Plz wadau sihitaji kuendelea kung'oa maana sitabakiwa na kitu. KUNA ANAYEFAHAMU TIBA YA HILI?
  2. rajab177

    Leo nawatoleeni Uvivu Watanzania tuliozaliwa kati ya miaka ya 1970 hadi 1985. Tuacheni upesi huu Unafiki tafadhali

    ...nyakati zimebadilika, tusijisahau kwenye hilo kadri miaka inavyotokomea tunazida kudhohofu xo tu react kutokana na mazingira tuliyonayo sasa.
  3. rajab177

    binti wa kazi

    natafu binti wa kazi kati ya miaka 16 na 18, mahali pa kufanyia kazi ni mtwara.
  4. rajab177

    .....lets share together.....

    Kuna msemo mmoja naupenda mno...'hakuna aijuae kesho yake' au wengine wanasema "kipele hakimpati mkunaji"...wengi tulikuwa na dream ya kazi ama kitu tunachopenda kifanya kwa ajil maisha yetu. Binafsi nilipenda Jeshi lakini nimeangukia kwingine. Hebu tushare pamoja, ni kaz ipi ilikuwa ya ndoto...
  5. rajab177

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kila kitu kina wakati wake
  6. rajab177

    Msaada: Simu yangu ya Huawei Y330-u07 toka nilipoi-restore haipandishi 3G

    Habari za jion wapendwa, ninahitaj msaada wenu wadau simu yangu ya HUAWEI Y330-U07 toka nilipoi restore haipandishi 3G. Nikilazimisha 3g mnara unakata kabisa....plz wadau
  7. rajab177

    Bomoabomoa yapitia nyumba ya mama Anna Mkapa

    wamechanganya Sent using Jamii Forums mobile app
  8. rajab177

    Bomoabomoa yapitia nyumba ya mama Anna Mkapa

    duh hatar Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom