Search results

  1. K

    Shigongo amvaa Tundu Lissu

    Ngereja yupo mguu nje,lazima watu wajipange kimkakati.Ahhh!! Shigongo walikusahau bro! umekohoa kusaka attention,maandalizi mema !!!!!
  2. K

    Antonio Conte, kocha mzuri anayeenda chelsea kudhalilika kwa tamaa ya pesa

    Wewe kama sio Gunners basi Red Devils,Conte katika msimu wake wa kwanza EPL amekuwa champion na mind u " a coach is hired to be fired" nyie endeleeni kuwa wavumilivu tuuuu!!!!!
  3. K

    Shares za Acacia Mining PLC zapanda ghafla

    Kwa mtu yeyote makini, mfuatiliaji wa masuala ya biashara za kimataifa,hili lilitarajiwa.Ila kwa wasomi wa mitandao ya udaku limekuwa jambo la kustaajabisha.Hawa jamaa wako smart sanaaaa!!! wanajua kipi cha kufanya,wakati gani,kwa mbinu ipi etc.So far tusiweke matarajio makubwa sana kuwa...
  4. K

    Jina Dkt–Muhimbili aliyetaka kuhonga timu ya Makanikia

    "Ada ya mja-------" na kuomba RADHI ndo darja ya juu kabisa ya MUUNGWANA, kama kweli Mkuu ametambua makosa yaliyotendwa na watangulizi wake,basi asione aibu kuwaomba RADHI wale woteeee! ambao walitukanwa,kuzomewa na kufanyiwa dhihaka na makada wa chama chake pindi walipokuwa wanatahadharishwa...
  5. K

    Mahakama ya kodi ilisema ACACIA imesajiliwa BRELA

    Kweli mkuu lusungo! TIME WILL TELL
  6. K

    Hivi Bunge haliwezi pitisha azimio mkataba wa IPTL ukawa "reviewed"?

    Too late bro,walishauriwa wakapuuzia ,acha tusubiri tuone kama kweli Mh atakuwa na guts za ku-defuse hili bomb.Walau ameonyesha uthubutu but he has a long way to go and mind u this seems to be a one man war.
  7. K

    Kwa wale waliokulia vijijini.

    Utotoni tulikuwa na kamchezo ka kuwinda vicheche.Vitendea kazi vilikuwa mbwa,rungu na vibuyu vya maji.Mara kwa mara zoezi hili tulikuwa tukilifanya pale kuku wetu walipokuwa wanashambuliwa na vinyama hivi.Tulipokuwa tunaondoka kwenda mawindoni kila mmoja lengo lilikuwa kuwatokomeza kabisa...
  8. K

    Ukweli kuhusu EWURA na leseni kwa IPTL

    Wana masikio lakini hawasiki, wana macho lakini hawaoni. Wanajifanya HAMNAZO, let us be really,call a spoon "SPOON".KWELI itatuweka HURU.
  9. K

    Mamia ya wanachama kuihama CHADEMA ni pigo takatifu hilo

    Mpumbavu hulaumu alipoangukia!!! Sio wapi alipojikwaa.Tatizo hapa ni mikataba mibovu au wale wanaowakumbusha wapi mlipokosea? Once this forum walked the talk, but nowadays its the other way round from "home of great thinkers" to the homes of total vilaza!!!!
  10. K

    Mwigulu: Nilitegemea mawakili wakubwa na wasomi kama Lissu wajitokeze na kuanza kuwashitaki ACACIA

    Bro Mwigulu you have unfinished work to execute!!! Hivi kati ya amani ya Kibiti na Lisu , kipaumbele chako ni kipi?
  11. K

    Wabunge wenye hali mbaya "Uchaguzi 2020"

    Try to be honest, at least wanalifanya bunge kuwa active kwa michango yao na vibweka vyao. Je vipi kuhusu Kibajaji na yule mrithi wa kiti cha mamake?
Back
Top Bottom