Tusichoshane maisha magumu siku hizi.
Wakati Messi na Mbappe wanatikisa nyavu huko Qatar, nikasema nami nisiwe mzembe nami nitikise nyavu za mke wa jirani yangu ili niongeze uzoefu.
Ilikuwa siku ya juzi nikatimba kwake huyu mama nikaanza kujiongelesha habari za hapa na pale hatimaye nikaomba...
Heri ya mwaka mpya wakuu. Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Hii ni baada ya harakati za hapa pale za kusoma kwa kuungaunga hatimaye nimepata vigezo vya kujiunga na digrii.
Na digrii yangu nitasoma facult ya elimu hilo sina namna nalo, nalazimika kusoma kitivo hicho kwa sababu mbalimbali ambazo...
Sikuchoshi na salamu maana hazikuletei mkate mezani. Nimeshachoka naanza kwa kukupa makavu, andaa panadol na jagi la maji mengi pembeni. Hakikisha unakunywa maji mengi maana ndiyo bidhaa pekee iliyobakia mjini ikiuzwa kwa bei ndogo zingine hazikamatiki.
Ni takribani miaka 7 watumishi wa umma...
Sikuchoshi na usinichoshe, moja kwa moja kwenye mada.
Kwanza nina furaha na amani tele tena moyoni baadaya ya miaka 5 na siku 114 kupita nikiwa na maumivu makali sana moyoni. Furaha yangu ilirejea ndani ya nusu ya pili ya mwezi machi. Lakini wakati nakula zangu bata kwa furaha ghafla nashangaa...
Takribani miaka 60 sasa Watanzania hususani tabaka tawaliwa, tumeishi kwenye ufukara uliotopea. Wakati huo tabaka tawala wakijineemesha kupitia msamiati uzalendo.
Miaka 60 ya uhuru bado tunapewa ahadi ya jiji la Arusha kuwa kama CALIFORNIA, wakati watoto wetu wanasomea chini ya miti, maajabu...
Siwachoshi naenda moja kwa moja kwenye mada.
Katika ukoo wetu tuna utaratibu wa kukaa kikao kila tarehe 24 mwezi wa 10 kila mwaka, hivyo leo ndiyo leo na muda huu burudani, maakuli, vinywaji na mazungumzo ya kawaida yanaendelea huku kikao rasmi kikifungwa na mwenyekiti mnamo saa tatu kamili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.