Search results

  1. marregal

    good and brand new watches kwa bei chee

    brand new Michael Kors, MK watches, price only Tsh 35,000/= NEGOTIATABLE, few pieces left, serious business, interested whatsapp 0654586644.
  2. marregal

    World’s Most Beautiful Airports

    hata tukikopa WB bado haitafikia huko maana viongozi wetu wanapenda chajuu saana na ndo tabia yetu wa TZ
  3. marregal

    Embu cheki na hii Xolo smartphne me nimeipenda

    specs ziko poa, Mchina akikaa vizuri lazima aje kufanya assembling ya hiyo Xolo baada ya mda hivi zitazagaa tuu Tz
  4. marregal

    Aina gani ya laptop iko poa?.

    go for .HP ENVY 15t Quad with 4th generaton Intel i7, 1TB Hybrid HD( good for 3D gaming Graphics etc) 16GB RAM windows 8 64bit...
  5. marregal

    Dr W.P.Slaa ondoa mashaka kuhusu UDSM

    Na ni kweli kuwa at a resonable or rather good percent UDSM, provides a good number of graduates that fit in various situation, na hata kama siyo kila situation,but they can stil cope, abide and adapt new ways in challengful environment even though some graduates hawapo hivo. Neverthelss some of...
  6. marregal

    Pc login problems

    habari wanajamvini.. nina katatizo kidogo hapa, kuna Toshiba laptop ukiiwasha tuu inakuambia ufanye set up ya date, time and boot up sequence inatumia windows XP, kiiila siku yaani, na hata some keyboard buttons zimeanza kufail.... assistance plz
  7. marregal

    Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

    hongera zakee with flying colours :yo:
  8. marregal

    HTC Wildfire S A510E for sale.

    Hapo noma mkuu. fanya 300000 uchukue mzigo
  9. marregal

    HTC Wildfire S A510E for sale.

    It is used and in Mint condition with its accessories, price Tsh 350,000/= negotiatable.
  10. marregal

    Apple hii technology nouma sana na nimeipenda embu ona hapo

    hii ni imaginative technology, wachache ndio watakao afford ikifanikiwa wengine wataishia kuenvy tuu. au kula kwa macho.:israel:..
  11. marregal

    Naomba elimu kuhusu Ubuntu OS

    its more fun to try vigumu pia,, japokuwa ubuntu si ngumu, in next few years to come many large network organizations will be largely engaged in Unix/Linux systems.. if ur interested in getting better in networks communications, getting to know ubuntu is fairly well,,,
  12. marregal

    Nokia Lumia 920 is better than the Apple iPhone 5

    hii kalii, nimeipenda hii, nokia wants to maintain its technology strategies.. am impressed with the charging thing as wel as ....:A S shade:let me say everything,,:A S shade:
  13. marregal

    Moving applications to SD card

    hiyo sijajaribu nilijaribu hii hapa How to Root HTC Wildfire S 2.3.5 S-ON using HTCDev.com + HTC ..., nilikwama kwenye ku update ROM
  14. marregal

    Dunia yalaani kifo cha mwandishi Daud Mwangosi

    duuh, yasije yakawa kama yalee ya Freetown, maana nchi yetu haki ipo mikononi mwa wachache, makundi matatu yanaishi, wenye kuona tatizo alaf wakaona ndio ilivoandikwa, wenye kuona tatizo alaf hawajui chanzo nin lakin wanataka mabadiliko na wale wenye kuona tatizo, wakajua chanzo na wanafanya...
  15. marregal

    Moving applications to SD card

    waweza nipa procedures ulizotumia kuroot simu yako,, even if its a link to visit...
  16. marregal

    Moving applications to SD card

    nimejaribu na this application called unlock root lakin bado mambo yale yale,, kuna nyingine ya kutumia command line interface tried to follow the procedure lakin ikija kwenye ku update ROM before root, the phone turns off, its HTC wildfire S.
  17. marregal

    Moving applications to SD card

    hellow fellas, i have been trying to put almost all of my 'downloaded' applications to the SD card so as to give internal memory more space to enable good perfomance of the phone, i hav this application am using its called 'app 2 SD' some goes to the card and most of them goes to the internal...
Back
Top Bottom