Search results

  1. Jux08

    Appreciation

    ..would lyk to appreciate all the members in this platform. That is it! Thanks.
  2. Jux08

    Kozi ya manufaa veta

    Wadau, ni kozi gani naeza kusoma veta hapa ikanipa manufaa kitaa..!??
  3. Jux08

    OPEN UNIVERSITY

    Ukizungumzia vyuo vikuu tz, utakutana na wanaosema kuwa udsm, mzumbe n.k ndo vyuo bora zaid huku Open university wakiponda vby..lkn ukiangalia ranking unakuta open inaizidi mzumbe..tatzo ni nn
  4. Jux08

    Msaada kuhusu udemy

    Udemy huwa wanatoa vyeti..?
  5. Jux08

    Kozi za online udemy huwa wanatoa vyeti..!?

    Hey, msaada.. kozi za online udemy huwa wanatoa vyeti..!?
  6. Jux08

    Udemy

    Wadau niaje, hivi kozi za online kama udemy huwa wanatoa cheti..?
  7. Jux08

    Ajira za walimu 2019

    Hello, mwenye link yenye majina ya ajira za walimu april 2019, msaada.
  8. Jux08

    Kubadilishana kituo cha kazi

    Habari zenu wapendwa, Kuna mwalimu wa masomo ya sanaa yuko musoma mjini anatafuta mwalimu wa mwanza mjini wa kubadilishana nae. Mwenye taarifa anicheki inbox itapendeza.
  9. Jux08

    Kubadilishana kituo cha kazi

    Jamani kuna mwalimu wa sekondari mjini musoma anatafuta mwalimu ambae yuko mwanza mjini wa kubadilishana nae.
Back
Top Bottom