Search results

  1. R

    Shigongo amvaa Tundu Lissu

    Twaweza wesha sema mccm yeyote elimu in ndogo ndio maana shigongo hamwelewi Lissu
  2. R

    House4Sale House for sale Location goba price Tsh. 200.000.000/= million Call+255717097905

    Hela ya magwangwala in kila mtanzania anapewa Noah
  3. R

    UVCCM wampa za uso Lowassa kuhusu sakata la makinikia

    Wadau Leo nimeamini Utafiti wa "TWAWEZA"Juu ya wafuasi wa CCM.Sikutegemea Mtoto Mdogo Na mchanga Na bumbumbu wa Siasa Bw.Shaka wa Uvccm atufundishe siasa watanzania Na pia amtukane Mh.Lowassa.Napenda kumfahamisha shaka kuwa Mh.Lowassa sio size yake , Mh.Lowassa ni Baba yake Na Mh.Lowassa...
  4. R

    UVCCM wampa za uso Lowassa kuhusu sakata la makinikia

    Shaka shaka kumtukana Lowassa hupati credit Lowassa sio size yako ni utovu wa nidhamu
  5. R

    Chadema mmeikosea sana Nchi,laana kubwa hii

    Nimekukubali ni kinyume chake umeona Aibu kukitaja chama wa wenye elimu ndogo Na masikini ccm
  6. R

    Tofauti ya mtu anayehama CCM kwenda CHADEMA na anayehama CHADEMA kwenda CCM

    Toafuti no kwamba ukienda CCM unakatwa mkia
  7. R

    Exclusive. Hatimaye Yusuph Manji amerejea rasmi Yanga na amemsajili Ibrahim Ajib

    Kweli kabisa hata ndege ya AFC leopards alipanda
  8. R

    Angekuwa yule mnadhani angefanya kama anayoyafanya huyu?

    Hata wewe ungekuwa umeajiriwa
  9. R

    Kuna mtu wa kumuamini Lissu na CHADEMA yote kwa sasa

    Vipi CCM Na mikataba ya Madini?
  10. R

    Unapomsafisha Lowassa wasafishe na hawa

    Wachafu wamepatikana ni wengi sana wabunge wapiga meza Na waimba taarabu
  11. R

    Makosa hatari yanayomgharimu Tundu Lissu!

    Hakuna fisadi mkubwa nchi kama wa madini
  12. R

    SAKATA LA MADINI: Karamagi ahoji, nisaidie nini ?

    Ulikuwepo huko uingereza?
  13. R

    Bw.Ndugai uliapa kuwa utatenda haki katika Kazi yako ya uspika vipi tena?

    Wadau naomba tushirikiane kumkumbusha Bw.Ndugai Spika wa Bunge Juu ya kiapo alichoapa baada ya kuchaguliwa.Spika Ndugai anaonekana kuchukia dhahiri Kambi ya Upinzani .Kauli Na maamuzi yake yamekuwa ya upendeleo dhahiri Kwa wabunge wa CCM.
  14. R

    Jeshi la polisi liruhusu maandamano ya amani kumuunga mkono Rais!

    Maandamano ya nini fanyeni Kazi acheni uvivu
  15. R

    Edward Lowassa ampongeza Rais Dr. John Magufuli

    Vipi CCM hamjipongezi maana nyie ndio wezi wenyewe Mungu kawalipa wapinzani
  16. R

    Edward Lowassa ampongeza Rais Dr. John Magufuli

    Somji uptake usitake Kamanda Lowassa no Waziri Mkuu labda unywe sumu
  17. R

    IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Jana Mh.Rais ameliagiza Bunge lipitie Mikataba yote.Suala la mikataba lilikuwa kaa la moto kila Mara pale Wapinzani wanapolitaka Bunge liiagize Serikali iilete.
Back
Top Bottom