Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Wadau naomba tushirikiane kumkumbusha Bw.Ndugai Spika wa Bunge Juu ya kiapo alichoapa baada ya kuchaguliwa.Spika Ndugai anaonekana kuchukia dhahiri Kambi ya Upinzani .Kauli Na maamuzi yake yamekuwa ya upendeleo dhahiri Kwa wabunge wa CCM.