Search results

  1. Maviyamende

    Mh.Tundu Lissu tunaomba utuache kwanza!!!Samahani saana

    Kwa mitazamo ya kisiasa Tundu Lissu amekuwa ni mbunge wa kupotosha jamii huku akijisahau kuwa, amepelekwa pale bungeni kwa huruma za chama cha mapinduzi na kura za wasiojielewa. Yapo mambo ambayo Lissu amekuwa akiyapinga hata kama yanaleta maendeleo ktk jamii. Hakuna aliyetegemea maajabu ya...
  2. Maviyamende

    Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Kamuulize roma yaliyomkuta kwasababu yakuposti ujinga
  3. Maviyamende

    Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam mheshimiwa paul christian makonda amekuwa shujaa wa vita tangu awe appointed na amiri jeshi mkuu mh. John pombe joseph magufuli. Yapo mambo kadhaa ambayo bila ubishi yalileta mshtuko na yalitikisa dunia ambayo hata Rais wa awam ya nne hakuweza kuyagusa. Sikuzote...
  4. Maviyamende

    Live on Star TV: Je, Daudi Bashite atajibu maswali haya?

    Umeandika ujinga rudia tena
  5. Maviyamende

    Paul Makonda, Kamanda Sirro, Mwakyembe na Mrisho Gambo, kesho mtakuwa wageni wa nani?

    Kinachokuja kuniumiza akili ni pale ambopo nakuja kuona kila tukio tunalolipata liwe polisi kamfyatulia malima risasi lawama zitakuja kwa serikali bila kuchunguza kwann kafanya hivi polisi, Polisi saba waliouawa kibiti mliweza kutia mioyo ya ganzi na kusema acha wave maana wao wamezidi bila...
  6. Maviyamende

    Kuna utaratibu gani wa kupata kadi ya Chama Cha Mapinduzi?

    Naombeni mnielekeze coz nataka kwenda kuchukua kadi ya chama cha CCM kesho But sijui kuna taratibu zipi na masharti gani ili uchukue kadi
  7. Maviyamende

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Ni RAIA wa nchi gani kwani
  8. Maviyamende

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Ivi naomba kuuliza Waziri wa Ofisi ya Rais Menejiment na Utawala Bora Angela Kairuki alizaliwa mkoa gani na kwao kabisa ni wapi?
  9. Maviyamende

    Jamani nipo Dar es Salaam ni mda gani huwa tunaruhusiwa kuchukua kadi za chama

    Nahitaji kadi ya chama ila sijui kuna utaratibu gani ili nipate kadi ya chama
Back
Top Bottom