Kuna utaratibu gani wa kupata kadi ya Chama Cha Mapinduzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna utaratibu gani wa kupata kadi ya Chama Cha Mapinduzi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maviyamende, May 20, 2017.

 1. Maviyamende

  Maviyamende Member

  #1
  May 20, 2017
  Joined: May 1, 2017
  Messages: 15
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 5
  Naombeni mnielekeze coz nataka kwenda kuchukua kadi ya chama cha CCM kesho
  But sijui kuna taratibu zipi na masharti gani ili uchukue kadi
   
 2. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2017
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 16,297
  Likes Received: 57,126
  Trophy Points: 280
  Subiri waje kukueleza.
   
 3. Moisemusajiografii

  Moisemusajiografii JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2017
  Joined: Nov 3, 2013
  Messages: 5,148
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Fanya kusubiri ziara ya kiongozi wa nchi utaandaliwa utaratibu wa kupata kadi.
   
Loading...