Jamani nipo Dar es Salaam ni mda gani huwa tunaruhusiwa kuchukua kadi za chama

Labda kile cha Chaputa, ndo utaambiwa saa za kujichukulia card. Vyama vya siasa hawana shida na wanachama wa mda haswa from mikoani. Ngojea 2020 kwenye June.
 
Mkuu kasitisha zoez la kugawa kadi akidai kuwa kila mtz ni mwanachama sasa wa chama ch kijan
 
kama CCM nenda muda hata wa kazi hakuna wa kukuuliza utapewa ila kama chama pinzani jiandae na kukakamatwa kwa kukusanyika isivyo halali.
 
Back
Top Bottom