Search results

  1. F

    Nyumba inauzwa

    Habari zenu wadau nauza nyumba iliyopo maeneo ya mbagala mwanamtoti nyumba ina vyumba vitatu bei ni million 75 kwa mawasiliano zaidi piga namba 0715377241 picha nazileta.
  2. F

    Katibu wa CCM Kata Ya Bungu, Kibiti auawa kwa kupigwa risasi

    Jamani tuwe waungwana,huwezi kusema wache wawamalize Kama kweli wewe binadamu,kifo siokitu chamchezo ndugu zangu,kinachopaswa kuwapa wananchi wahuko pwani kuwapa ushirikiano vyombo vyadola,pia vyombo vya dola ijaribu kutumia njia mbadala yakutoa Zawadi atakae fanikisha kuumaliza huu mtandao Wa...
  3. F

    Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

    Nikweli achana naye,atakutumia tuu kwa faida yake,siyo kujenga familia
  4. F

    Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

    Mjaribu kumwambia basi Una elfu 50,uone atasemaje?
  5. F

    Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

    Msaidie tuu,inawezekana anakupima imani kwako,msaidie umpe nafasi yamwisho
Back
Top Bottom