Search results

  1. C

    Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake

    Punguza munkari brow sasa Chama cha Mapinduzi kinahusika nini hapo tumia akili kufikiria
  2. C

    Mkurugenzi wa fedha na mpango hospitali ya Rufaa Bugando, mtawa Suzan Bathlomeo ajirusha Ghorofani na kufariki

    Aisee hukosama hiyo clip[emoji35] Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
  3. C

    Rais Magufuli anaiua CCM kifo cha mateso makubwa

    Ha ha unasema kama mbwa mwitu wanavyomuua swala kunyofoa minofu kipande kipande hadi kifo
  4. C

    Je ni siku ya hatari kupata mimba

    Pole lea mtoto usipelekwe kwa RC makonda
  5. C

    Winnie Madikizela Mandela alipokuja Dar 1990

    [emoji2] [emoji3] [emoji1] Tatizo vijana wanaovaa milegezo hawajui historia mkuu wao wanarukia makala tuu sawa na kurukia train kwa mbele nimecheka sana
  6. C

    RC Makonda, kabla ya kuingilia ndoa za watu muulize kwanza Augustino Lyatonga Mrema alipoishia

    Ha ha ha ha Halafu wamejitanda ushungwi kuficha aibu zao mwanamke ni mdhaifu sana pia ni mtu asiye aminika
  7. C

    Dalili za Serikali ya Rais Magufuli kuanza kupoteza mwelekeo

    Mimi bado sijakuelewa unachanganya changanya mambo kwa kifupi unarukaruka kama chura hii habara haijanyoka Ina maana hukutaka warudishwe kazini? Wewe mwenyewe ni darasa la saba kwani hii habari ulioandika hapa haina mpangilio
  8. C

    Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

    Umeandika makande tuu huku sasa umekuaje kafa wakati una andika mwili haujakutwa eneo la tukio copy an pest hizi
  9. C

    Mchumba wangu hataki nishike simu yake kusoma meseji, kanikwapua simu yake na kunipigia kelele mbele za watu

    Acha kumpotosha mwenzio na mistari ya biblia huku wewe unampekua mwanamke unatafuta nini sembuse aliemzaa hakuweza wewe unakuja huku kumpekua ukubwani acha uform one wewe kwanza nyie ndo mnaopigiwa kwenye duka la mpemba kwenda kununua nazi au maboss na waosha kucha saloon jipange upya
  10. C

    Mchumba wangu hataki nishike simu yake kusoma meseji, kanikwapua simu yake na kunipigia kelele mbele za watu

    Ha ha ha ha sembuse watu humu wananunulia wake zao vifuniko vya asali na bado kuna midubwana inazivua na kuendelea kula asali bila mwenye mzinga kujua sasa yeye anakuja huku na kisimu alichomnunuali mkewe cha kichina kulalama
  11. C

    Mchumba wangu hataki nishike simu yake kusoma meseji, kanikwapua simu yake na kunipigia kelele mbele za watu

    Sasa wewe ni hatari inaelekea hata unatabia za kunusa nguo zake za ndani na kukagua hayo maeneo sio fresh kukagua simu ya mkeo ni sawa na kufufua makaburi ya zamani kujua alikuwa anafanya mapenzi na nani utoto ni au kupenda kumjua Ex boy friend wake utakufa brow achana na biashara za kupekua...
  12. C

    Ushauri: Nina mahusiano na mwanamke 'msimbe'

    Maneno kuntu hayo zingatia
  13. C

    Mchango wa dini katika kutetea haki za kiraia: Mohamed Said yeye ni kushutumu Wakristo

    Jumapili marudio ni saa ngapi na ni radio gani nifuatilie
  14. C

    Usijaribu kumfuatilia Mwanamke!

    Ha ha ha wewe ndo ulie mzaa acha kuongea machicha brow wewe huwezi mchunga binadamu alie kuzaa kama una jeuri kata K yake uwe unaiweka nyumbani unaacha kufanya kazi za maendeleo unamfuatia mkeo kisa mahari huu upuuzi kasimulie form one wenzio tena inaonyesha wewe unapigiwa hapo hapo akienda...
  15. C

    Watumishi wa Serikali wapoteza ajira baada ya kuajiriwa 'Full time' sekta binafsi

    Yupo wapi yule dada Kariuki na majisifa yake ya kutumbua watumishi wa umma siku si nyingi nae huyu ndalichako atakaa kimya tuu Hivi vyeo ni sawa na joho la kuazima utalirudisha siku yoyote
  16. C

    Familia iliyokamatwa China na dawa za kulevya: Serikali ya China haiwezi kumsamehe mama mzazi ili amlee mtoto?

    Wewe ulipata wapi hizi habari achana na kusoma magazeti ya Sani na kuleta huku sheria za china wewe unafananisha na za kijijini kwako za wizi wa kuku Kule ni kitanzi tuu bashe
  17. C

    Familia iliyokamatwa China na dawa za kulevya: Serikali ya China haiwezi kumsamehe mama mzazi ili amlee mtoto?

    Ni sawa ndugu yangu mtoto kuadhirika kiakili Naomba nikuulize ni vijana wangapi wamekuwa mazezeta kutokana na hayo madawa ya kulevya?? Ni vijana wangapi wenye nguvu wamekufa na hayo madawa?? Ni nguvu kazi ngapi zimepotezwa na taifa kukosa uzalishaji kutokana na hayo madawa?? Ni watoto wangapi...
  18. C

    Upaja wa Shangazi

    Haina huo uwezo ya kichina badili simu mkuu
Back
Top Bottom