Wakati mwingine Kuna dhana ambayo sio ya wazi Ila huwa ipo. Unapofanya kazi chini ya mtu (makamu wa raisi huwa huna maamuzi ya moja kwa moja). Unakuwa Ni mtu wa kushauri zaidi. Pia unaweza kujisahaulisha kabisa kuwa hali hiyo itadumu na hutegemei na kuwaza siku moja yaweze kuwa na mabadiliko...
Nafikiri kwamba huenda system ya ki-usalama ya kwetu haikuweka kipaombele kwenye kipengere kinachohusu ubora wa afya ya mtu kwenye nafasi husika. Yawezekana pia taasisi husika na mifumo yake hadi sasa bado haina utaratibu wa kuwaandaa watu kwa ajili ya kushika nyadhifa nyeti hasa zile za...
Uzi huu katika mahali hapa kiukweli hauleti taswira nzuri kwa pande zote. Kazi maalumu achilia kwamba ni nyeti lakini pia ni endelevu. Kuna mmomonyoko wa kima adili hasa ya utumishi katika umma nauona kwa mbali. Jambo hili liangaliwe kwa uzito stahiki hasa hasa kama mamlaka husika zinaliona hili.
Jamani, nafikiri lengo la mleta mada hii kwa wana jamii ni kupata mawazo na hata faraja kama mwana jamii. Nimesoma komenti nyingi zinakosa japo neno la faraja. Tukumbuke kuwa ualimu ni kazi ya heshima. Popote ukimtaja mtaalamu wa aina yeyote ni sharti awe amefundishwa na mwalimu. Ni vema ikiwa...
Umefanya analysis kwa vyama viwili pekee. Vipi ikiwa ungefanya kwa vyama japo kwa zaidi ya viwili Kama sio vyote ili tuwe na eneo Pana kwa kuwa vyama vyote vipikuwa na ilani yake. Kwenye sayansi kanuni zinaelekeza kuwa "more samples for treatment is more accurate becoming".
Ki-geographia, Tanzania ni mojawapo ya nchi za ukanda wa tropical pamoja na equatorial. Ina tabia ya kupata mvua kubwa na za mara kwa mara. Maji ya mvua hutengeneza makorongo au mito ya kudumu. Miundombinu muhimu kama ya barabara na vivuko hutegemeana na ufahamu na uelewa mkubwa hasusan Nyanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.